Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Upo utafuteHivi huo wimbo haupo mtandaoni niu-download?
MhuhuhuhuhuhuhuhuhuuHahahaha mbavu zangu mie
kumara = kimaraIgnorance of the law is not defence.
Kwa hiyo waachwe hapo ili uendelee kufurahia wanaposombwa na Mafuriko siyo.
Magufuli alibomoa Nyumba kutoka ubungo kwenda kumara bila kulipa fidia na bado wamemchagua kwa kura nyingi.
Hii inaonyesha wananchi wanapenda kufuata sheria ila kuna wanafiki wachache wanajifanya wanatetea kumbe upumbavu mtupu.
Nyinyi chagadema watu Wa hovyo sana hamtakaa mchukue hii nchi.
kibaraka cha mafisadi katika ubora wake.Kuna watu sometimes wanatia sana hasira.Mfano huyu msanii wa bongo movie ambaye alikuwa msatari wa mbele kwenye kampeni za CCM na alikuwa hodari wa kukata viuno ulipopigwa ule wimbo wa kuisoma #Namba.
Leo namba kaanza kuisoma yeye,Analalamika kwenye mitandao ya kijamii"Eti nyumba zake mbili zinavunjwa.Nani wa kumsaidia?
Si aende Lumumba kulalama?
Bulembo si yupo,akamweleze na si kuipigia jamii kelele.Wakati akikata mauno alidhani nini kitafuata?
Wanaomuonea huruma acha wamwonee tu.Ila mimi nasema acha aisome #Namba vizuri next time na wengine wawe na adabu.Hovyo kabisa"
Hivi huo wimbo haupo mtandaoni niu-download?
Upo youtube na ni msanii gani aliuimba?Bahati mbaya kawimbo huwezi share on JF daaaah nakasikiliza hapa
Hakuna nchi iliyoendelea duniani kwa kutekeleza sheria kwa huruma, huruma hivyo.Lakini jamani tuwe ba huruma
hatufurahii matatizo tunafurahi sheria kuchukua mkondo wakeWatu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Mkuu walituumiza sana roho kwa kupiga kampeni kwa kejeli. Walijipanga mstari na kupiga push-up kukejeli afya ya EL. Sasa huyu alikuwa anapiga push-up kumbe naye mume wake ana afya mbovu? Acha aisome namba, CCM mbele kwa mbeleWatu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Hebu karudie kusikiliza kauli ya mkuu wa mkoa.Atalipwa fidia na kiwanja atapewa km ana hati za nyumba