Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Ignorance of the law is not defence.



Kwa hiyo waachwe hapo ili uendelee kufurahia wanaposombwa na Mafuriko siyo.
Magufuli alibomoa Nyumba kutoka ubungo kwenda kumara bila kulipa fidia na bado wamemchagua kwa kura nyingi.

Hii inaonyesha wananchi wanapenda kufuata sheria ila kuna wanafiki wachache wanajifanya wanatetea kumbe upumbavu mtupu.
Nyinyi chagadema watu Wa hovyo sana hamtakaa mchukue hii nchi.
kumara = kimara
 
Kuna watu sometimes wanatia sana hasira.Mfano huyu msanii wa bongo movie ambaye alikuwa msatari wa mbele kwenye kampeni za CCM na alikuwa hodari wa kukata viuno ulipopigwa ule wimbo wa kuisoma #Namba.

Leo namba kaanza kuisoma yeye,Analalamika kwenye mitandao ya kijamii"Eti nyumba zake mbili zinavunjwa.Nani wa kumsaidia?
Si aende Lumumba kulalama?

Bulembo si yupo,akamweleze na si kuipigia jamii kelele.Wakati akikata mauno alidhani nini kitafuata?

Wanaomuonea huruma acha wamwonee tu.Ila mimi nasema acha aisome #Namba vizuri next time na wengine wawe na adabu.Hovyo kabisa"
kibaraka cha mafisadi katika ubora wake.
 
Operation bomoa bomoa bonde la mto msimbazi na kuweka BURUDANI.
 
Naona watu tunaombeana njaa aise
Si mchezo!
Kweli Hi # tutaisoma vilivyo hakuna cha ccm wala ukawa wala act
 
Watu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Mkuu walituumiza sana roho kwa kupiga kampeni kwa kejeli. Walijipanga mstari na kupiga push-up kukejeli afya ya EL. Sasa huyu alikuwa anapiga push-up kumbe naye mume wake ana afya mbovu? Acha aisome namba, CCM mbele kwa mbele
 
Wakija kubomoa vaa ivo ivo na uwaeleze kwamba janga na kofia unazo ulipewa watakusamehe
 
Kama wew ni msanii likija tingatinga kubomoa lifanyie usanii litacheka litaondoka
 
Maisha baada ya uchaguzi
 

Attachments

  • 1452100260219.jpg
    1452100260219.jpg
    43.1 KB · Views: 23
Back
Top Bottom