SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Hahahahaha Mkuu majukumu yakizidi usingizi unauweka pending kidogo! Na wewe mbona upo muda huu?!
Me nilikuwa naenda kuchimba dawa mkuu one tyme😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha Mkuu majukumu yakizidi usingizi unauweka pending kidogo! Na wewe mbona upo muda huu?!
Mkuu umeandika vizuri.ila ujalala hadi mda huu???
Me nilikuwa naenda kuchimba dawa mkuu one tyme😀
Walikuwa wanajiita team mama ongea na mwanao. Wacha magufuli awanyooshe.Hahahahaaa CCM ni ileile ooh ni ileileeeeee.
Tumejipangaaa,mwaka huu wataisomaaa.
Nimekamiss sana haka kawimbo jamani!
Great thinker.Teh...teh...teh...hiyo inaitwa kuku kala mchele jioni kaliwa na wali...
Wewe vipi nyumba yako imepona?Watu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Kamsemo kako nimekapenda mkuuTeh...teh...teh...hiyo inaitwa kuku kala mchele jioni kaliwa na wali...
Kuna watu sometimes wanatia sana hasira.Mfano huyu msanii wa bongo movie ambaye alikuwa msatari wa mbele kwenye kampeni za CCM na alikuwa hodari wa kukata viuno ulipopigwa ule wimbo wa kuisoma #Namba.
Leo namba kaanza kuisoma yeye,Analalamika kwenye mitandao ya kijamii"Eti nyumba zake mbili zinavunjwa.Nani wa kumsaidia?
Si aende Lumumba kulalama?
Bulembo si yupo,akamweleze na si kuipigia jamii kelele.Wakati akikata mauno alidhani nini kitafuata?
Wanaomuonea huruma acha wamwonee tu.Ila mimi nasema acha aisome #Namba vizuri next time na wengine wawe na adabu.Hovyo kabisa"
Kwa hiyo kushabikia CCM ni kibali cha kuvunja sheria?Ataisoma namba presha itamaliza yeye alikuwa anashabikia ccm akalale huko sasa
bulembo amsaidie mini? kila show alikuwa analipwa stahiki zake, kama anadai kitu aseme...hayo ni uzembe wake bulembo wala ccm hayawahusu..Kuna watu sometimes wanatia sana hasira.Mfano huyu msaniwake, bulembo walahi hahusiki... bongo movie ambaye alikuwa msatari wa mbele kwenye kampeni za CCM na alikuwa hodari wa kukata viuno ulipopigwa ule wimbo wa kuisoma #Namba.
Leo namba kaanza kuisoma yeye,Analalamika kwenye mitandao ya kijamii"Eti nyumba zake mbili zinavunjwa.Nani wa kumsaidia?
Si aende Lumumba kulalama?
Bulembo si yupo,akamweleze na si kuipigia jamii kelele.Wakati akikata mauno alidhani nini kitafuata?
Wanaomuonea huruma acha wamwonee tu.Ila mimi nasema acha aisome #Namba vizuri next time na wengine wawe na adabu.Hovyo kabisa"
Msanii wa bongo movie ameomba watanzania tumuombee, kwani ameanza mwaka vibaya baada ya nyumba zake mbili kuwekwa x na kuwa hatarini kubomolewa.View attachment 315200View attachment 315201View attachment 315202
#Hapa kazi tu
#Hatunywi sumu wala hatunyongi
#Mtaisoma namba
#CCM mbele kwa mbele.
Hatunywi sumu hatujinyongiiiiMama ongea na bomoa bomoa, pole wastara
Sisiem mbele kwa mbeleeee 😀Hatunywi sumu hatujinyongiiii
Sisiem au fisiem? Kumbe masikio yangu yana matatizo enh??Sisiem mbele kwa mbeleeee 😀
Sisiem au fisiem? Kumbe masikio yangu yana matatizo enh??
Hahahahaha... watu wamepinda balaa.... Ombea Wastara wetu... aishi muda mrefu.... ili atapobomolewa... ajionee kwa macho.....Kuna jamaa kamuombea dua wastara eti "Mungu usimchukue huku mtu kabla hajaona tingatinga likibomoa vibanda vyake" ha ha ha watu wamevurugwa
Sasa akisoma maneno kama haya si ndo atazima kabisa hahahaaKuna jamaa kamuombea dua wastara eti "Mungu usimchukue huyu mtu kabla hajaona tingatinga likibomoa vibanda vyake" ha ha ha watu wamevurugwa
Daaa nyie watu ....Teh Teh..Hahahahaha... watu wamepinda balaa.... Ombea Wastara wetu... aishi muda mrefu.... ili atapobomolewa... ajionee kwa macho.....
Kuna jamaa kamuombea dua wastara eti "Mungu usimchukue huyu mtu kabla hajaona tingatinga likibomoa vibanda vyake" ha ha ha watu wamevurugwa