samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Leo kaandika sentensi ndefu sana hata mimi nashangaa Jerrymsigwa kabangaHahahhaa kabanga, comment zako za 'sawa' 'ndio' 'ok' leo umeamua kufunguka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kaandika sentensi ndefu sana hata mimi nashangaa Jerrymsigwa kabangaHahahhaa kabanga, comment zako za 'sawa' 'ndio' 'ok' leo umeamua kufunguka
Presha ikishuka utaendelea kuisoma namba
heri ya mwaka mpya kaka....Hahahhaa kabanga, comment zako za 'sawa' 'ndio' 'ok' leo umeamua kufunguka
Huyo nae ni jipu aiseeeesAnapenda kujilalamisha huyu mwanamke loh!! Sasa kaingia ukewenza wa kizenji atulie mana sasaivi ataanza kujiliza
MTU aliyeshabikia ccm kamwe hawez kuwa mwenzetu.wabomoe tuuuuWatu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Kwanza walikuwa kazini na mshahara wao walishapewa hii ni zamu ya serikali kufanya kazi yake.Shida sio kuwa CCM wala kuwa sijui chama gani. Hapa tunasimamia sheria tu.
Kipindi cha kampeni hao wasanii walisaidia chama kwa mapenzi yao...Na hatukuwaahidi kuwa CCM ikishinda basi itawabeba ikiwa watavunja sheria. Hii haikuwa ahadi yetu kwao.
Ana nyumba wapi..!!! Kujishauwa tu! Hana nyumba wala nini. Ni mpangaji tu wa nyumba za wenzie huku mjiniHoney moon sijui itakuwaje huku anawazia nyumba inavyobomolewa na tingatinga!
Walikuwa na nyumba magomeni karibu na jangwani bwana, na mimi nazijua kabisaaaaa.Ana nyumba wapi..!!! Kujishauwa tu! Hana nyumba wala nini. Ni mpangaji tu wa nyumba za wenzie huku mjini