Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Jana malalamiko yakubomolewa nyumba Leo kafunga NDOA au alikuwa anatuzuga,sasa hyo hanimuni na machungu ya kuvunjiwa nyumba wapi na wapi
 
Na bado hiyo ni introoo....! Wakat wanaishangilia wenyewe bila kickia Wala kuambiwa la chadema Leo hii et tumuombeeeeee.......@@@£"..-! Aende kwa magufuri
 
ImageUploadedByJamiiForums1452200782.652819.jpg
 
Kaolewa Leo....mbona hajatuma fcbk kushukuru Mungu?kaingia uke wenza akipata changamoto kidogo za ndoa atakimbilia IG kulalamika ili aonewe huruma.Yaani inaboa kwa kweli
Anapenda kujilalamisha huyu mwanamke loh!! Sasa kaingia ukewenza wa kizenji atulie mana sasaivi ataanza kujiliza
 
Honey moon sijui itakuwaje huku anawazia nyumba inavyobomolewa na tingatinga!
 
Picha hiyo!!!
 

Attachments

  • 1452231122398.jpg
    1452231122398.jpg
    28 KB · Views: 30
....na hiyo!
 

Attachments

  • 1452231200822.jpg
    1452231200822.jpg
    44 KB · Views: 44
Idimi linapokuja swala la utawala bora, sheria ifuate mkondo wake, kama alijenga sehemu zisizo stahili sheria ifuate mkondo hata kama alikuwa manager campaign wake!

Lakini sio kushabikia matatizo ya mtu binafsi kwasababu ya uchama!
Umesomeka kamanda
 
Back
Top Bottom