Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Hivi wastara ndio yule aliyekatwa mguu baada ya kupata ajali ya pikipiki akiwa na mme wake?
 
Hongera sana Wastara, kuamua kujiheshimu ni kipaji kikubwa kuliko vyote duniani.
 
Screenshot_2016-01-08-09-56-06_zps5scgydty.png
 
SASA KUMEKUCHAAA, SASA KUMEKUCHAA
JOGOO LISHAWIKA DODOOOMA,
CCM MBELE KWA MBELE..
 
ahende kwa mama lwakatare amuombee nyumba yake isivunje
 
Shida sio kuwa CCM wala kuwa sijui chama gani. Hapa tunasimamia sheria tu.

Kipindi cha kampeni hao wasanii walisaidia chama kwa mapenzi yao...Na hatukuwaahidi kuwa CCM ikishinda basi itawabeba ikiwa watavunja sheria. Hii haikuwa ahadi yetu kwao.
Kwanza walikuwa kazini na mshahara wao walishapewa hii ni zamu ya serikali kufanya kazi yake.
 
Honey moon sijui itakuwaje huku anawazia nyumba inavyobomolewa na tingatinga!
Ana nyumba wapi..!!! Kujishauwa tu! Hana nyumba wala nini. Ni mpangaji tu wa nyumba za wenzie huku mjini
 
Ana nyumba wapi..!!! Kujishauwa tu! Hana nyumba wala nini. Ni mpangaji tu wa nyumba za wenzie huku mjini
Walikuwa na nyumba magomeni karibu na jangwani bwana, na mimi nazijua kabisaaaaa.
Labda kama aliuza baada ya mumewe kufariki,ila tulikuwa tunapishana sana enzi zao na Vits yao ya njano na marehemu mumewe Sajuki Magomeni.
 
Back
Top Bottom