Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Huyu mama anaweza kunywa thumu au kujinyonga. Usiku nitaenda kujifunika shuka lake ili nimfariji.
 
Never Tell your Problems to anyone 20% don't Care and Other 80% are Glad you Have Them...

Actually will find more than once if someone really Cares he has more problems than you...[/QUOTE.
Naked Truth.
 
Tumsaidie kupeleka tingatinga kubomoa....atajisikia vizuri
 
Tunapotaka democracy lazima tukubali kwamba Taifa kuitwa taifa ni zaidi ya vyama vya Siasa na itikadi za Kisiasa! Wastara ana haki ya "kushabikia" chama chochote cha siasa kama ilivyo wewe na mimi, tofauti yake tu ni kwamba yeye ni msanii lakini pia haina maana kwamba once umekua msanii basi haki zako za kikatiba tayari umezikana! Binadamu inafika muda unalazimika Kukubali kutokukubaliana!

Sio lazima wote tuwe na hoja zinazofanana lakini ikija kwenye swala la ubinaadamu wahenga walishasema "Zimwi likujualo halikuli likakwisha", japo kuna waliokerwa na campaigning style yake sio busara kabisa kufanya yale yale aliyofanya (dharau, matusi na kejeli) wakati wa campaign ubinaadamu ni kusitiriana, ukishindana na mwehu nawe unaonekana mwehu tu!!

By the way mimi nadhani anatafuta Public attention + sympathy tu, we mtu presha imepanda unajitwanga selfie tena la kusinzia?! Wizi mtupu!
 

Mkuu umeandika vizuri.ila ujalala hadi mda huu???
 
Muda wa campaign umeisha sasa ni kazi tu, uwe ccm au ukawa ukivunja sheria unalimwa. Ninachoona kwenye huu uzi watu bado wana machungu ya babu yao kukosa nchi dah poleni sana
 
Ye alikua #MamaOngeaNaMwanao...nadhani saivi inatakiwa mama aongee na baba kumnusuru mwana ha ha haaaa "wameipenda wenyewe, chaguo lao wenyewe...."
Akafie mbele kule...
.Kila siku tunaitaka serikali iwachukulie hatua wavunja sheria....ndio maana tulifurahi ilipoanza na akina Masamaki wa TRA. Leo huyu mwingine naye kavunja sheria ya nchi eti mijitu ile ile iliyofurahia kuhusu Masamaki leo inataka sheria ipindishwe kwa huyu!
Kana kwamba akina Masamaki Uraia wao ni nusu lakini wa huyu mvunja sheria mwingine ndiye raia zaidi!
Wabomoe tu maana hamna namna nyingine ( In Pinda's tone).
 
Wameipenda wenyewe!
Wacha waisome number.
Na zibomolewe tu
Hivi haka ka wimbo walidhani anaimbiwa nani???
 
Sasa mnaoshangilia humu si mlisema magu anatekeleza ilan ya ukawa, ndio hi ati
 
Laana ya kumtukana babu Lowasa inawaandama, na bado mtaisoma wakati babu anakula kuku kwa mrija
 
MAMA ONGEA NA MWANAO TEHE TEHE TEHE


AKAOMBE PALE LUMUMBA WAMUOMBEE ATULIE
DAWA IMUINGEI, TENA WAKATI KIJIKO KINAPONDAPONDA HILO BANGALOO LAKE
KALE KA WIMBO KA TUMEIPENDA WENYEWE
NA WAVIMBE WAPASUKE WACHA WAISOME NAMBA EEEEEH CCM MBELE KWA MBILI Kawe kanarindima
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…