Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Upo youtube na ni msanii gani aliuimba?
Kundi la TOT John komba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo youtube na ni msanii gani aliuimba?
Usiandike hivyo mbele za watu utachekwa, Nenda Kwenye Page ya East Africa Television ndio utaona...Usiwe kipofu.AKAUNTI fake hiyo sidhani kama ni kweli
Msanii wa bongo movie ameomba watanzania tumuombee, kwani ameanza mwaka vibaya baada ya nyumba zake mbili kuwekwa x na kuwa hatarini kubomolewa.View attachment 315200View attachment 315201View attachment 315202
#Hapa kazi tu
#Hatunywi sumu wala hatunyongi
#Mtaisoma namba
#CCM mbele kwa mbele.
Watu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Never Tell your Problems to anyone 20% don't Care and Other 80% are Glad you Have Them...
Actually will find more than once if someone really Cares he has more problems than you...[/QUOTE.
Naked Truth.
Tunapotaka democracy lazima tukubali kwamba Taifa kuitwa taifa ni zaidi ya vyama vya Siasa na itikadi za Kisiasa! Wastara ana haki ya "kushabikia" chama chochote cha siasa kama ilivyo wewe na mimi, tofauti yake tu ni kwamba yeye ni msanii lakini pia haina maana kwamba once umekua msanii basi haki zako za kikatiba tayari umezikana! Binadamu inafika muda unalazimika Kukubali kutokukubaliana!
Sio lazima wote tuwe na hoja zinazofanana lakini ikija kwenye swala la ubinaadamu wahenga walishasema "Zimwi likujualo halikuli likakwisha", japo kuna waliokerwa na campaigning style yake sio busara kabisa kufanya yale yale aliyofanya (dharau, matusi na kejeli) wakati wa campaign ubinaadamu ni kusitiriana, ukishindana na mwehu nawe unaonekana mwehu tu!!
By the way mimi nadhani anatafuta Public attention + sympathy tu, we mtu presha imepanda unajitwanga selfie tena la kusinzia?! Wizi mtupu!
Ye alikua #MamaOngeaNaMwanao...nadhani saivi inatakiwa mama aongee na baba kumnusuru mwana ha ha haaaa "wameipenda wenyewe, chaguo lao wenyewe...."#TeamMamaOngeaNaMwanao" #teamKibajaji #teamNimeshtuka watamsaidia kuongea na bro Magu
Akafie mbele kule...Ye alikua #MamaOngeaNaMwanao...nadhani saivi inatakiwa mama aongee na baba kumnusuru mwana ha ha haaaa "wameipenda wenyewe, chaguo lao wenyewe...."
Kambie amtafute Bi Suluhu anaweza MPA suluhu ya matatizo yakeHuyu mama anaweza kunywa thumu au kujinyonga. Usiku nitaenda kujifunika shuka lake ili nimfariji.
Mkuu umeandika vizuri.ila ujalala hadi mda huu???