Tetesi: Wastara kuolewa baada ya Ramadhani, huwezi kuamini nani anamuoa

Kama ni kweli basi mdada anawashwa sana. Wabunge wa ukawa hatutaki makombo. Aende hukohuko. Next kwa mbunge wa Act . Dada kajipanda kwa ziara ya kisiasa kwa mtaji wa mwili.
 
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini wakati huu mhusika akiwa ni mbunge wa UKAWA anayewakilisha moja ya majimbo ya kaskazini.

Habari kutoka ndani ya nyumba ya Wastara zinadai staa huyo amefikia hatua hiyo baada ya kushindwa kuvumilia kuwa singo,na hivyo kutulia kwa bingwa huyo wa maandamano.

Wastara ambaye amethibitisha kuchoshwa kabisa na CCM ambayo ameitumikia kwa miaka yote ya ujana wake ambapo ilimlipa kwa kumuwekea X nyumba zake mbili ambapo pia waliendelea zaidi kumtesa hata kwenye suala la mapenzi kupitia kada wake ndugu Sadifu.

Wastara anakuwa kada mwingine kutoka CCM ambaye atalazimika kutamka hadharani kuwa CCM siyo mama yake wala baba yake pindi atakapovishwa pete siku ya harusi hiyo.

Hivi Wastara hachoki kuvuliwa chupi tu na hawa wasanii wa siasa? Tutasikia tena baada ya ramadhaini kupita kuwa anachumbiwa na mbunge mwingine. Inabidi ajichunge la sivyo atakuwa kiwanja cha mazoezi tu cha wabunge na mwisho atahamia Dom kuwafariji.
 
"Wastara anakuwa kada mwingine kutoka CCM ambaye atalazimika kutamka hadharani kuwa CCM siyo mama yake wala baba yake pindi atakapovishwa pete siku ya harusi hiyo."

Hahahahah we jamaa nouma saaaaaaaaaaana!!
 
Ahhahahaha umeniongezea siku aiseee za kuishii
 
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini wakati huu mhusika akiwa ni mbunge wa UKAWA anayewakilisha moja ya majimbo ya kaskazini.

Habari kutoka ndani ya nyumba ya Wastara zinadai staa huyo amefikia hatua hiyo baada ya kushindwa kuvumilia kuwa singo,na hivyo kutulia kwa bingwa huyo wa maandamano.

Wastara ambaye amethibitisha kuchoshwa kabisa na CCM ambayo ameitumikia kwa miaka yote ya ujana wake ambapo ilimlipa kwa kumuwekea X nyumba zake mbili ambapo pia waliendelea zaidi kumtesa hata kwenye suala la mapenzi kupitia kada wake ndugu Sadifu.

Wastara anakuwa kada mwingine kutoka CCM ambaye atalazimika kutamka hadharani kuwa CCM siyo mama yake wala baba yake pindi atakapovishwa pete siku ya harusi hiyo.
vp mkuu uishawahi kuomba kazi katika gazeti lolote la udaku? kama bado nakushauri fanya hivyo hii kazi inakufaa sana
 
Back
Top Bottom