Tetesi: Wastara kuolewa baada ya Ramadhani, huwezi kuamini nani anamuoa

Huyu dada ni mzoefu wa kuolewa, wanawake wanaotaka kuolewa wanaweza kumtumia huyu kama kungwi awafundishe jinsi ya kulifanya buzi litangaze ndoa haraka.
 
Hivi hapa bongo hakuna mawakala wa 'Guinness book of records'?
 
Huyu kila mwaka anaolewa? Sijaelewa bado!!!
 
mtoa uzi naona anabwabwaja tu, ugoro kabisa huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…