Tetesi: Wastara kuolewa baada ya Ramadhani, huwezi kuamini nani anamuoa

Mtoa mada huwa nafurahia kuusoma mwandiko wako. ......

Naona Lemutuz umempumzisha kwa muda......
 
Ku.ma.ni.na nimecheka mpaka nimeanguka kutoka kwenye kiti cha counter we noma aiseee
 

Yana ukweli.na mm namjua anayemuoa lkn csemi ng'o
 
Yule gwiji wa ccm na kada aliye na uzoefu wa kufunga ndoa atanyakuliwa toka kwenye mateso aliyosababishiwa na kada mwenzie
 
Anafuata hela tu huyo,akizikosa atalianzisha tu,ujenge kwenye mto uachiwe tu kisa wewe msanii?
 

Hahahaaaaaa yan umenichekesha
 
Bora nisingesoma hapa nimebaki kuumiza kichwa na maswali .... Ninani huyo mbunge[emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…