IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Ndoa maana yake nini kwani? Kuna ndoa za aina ngapi kwani?Mamndenyi said:Hongera zake. Akumbuke tu kuwa hana bahati ya ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa maana yake nini kwani? Kuna ndoa za aina ngapi kwani?Mamndenyi said:Hongera zake. Akumbuke tu kuwa hana bahati ya ndoa.
Wewe unataka mwenzio ajiingize kwenye uasherati, je kwa kuwa mola amemchukua mumewe ndo tuseme kwa umri alionao asipige gemu tena? Is it realistically possible? The answer is Noo Labda kama unamshauri ajiingize kwenye uasherati.Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Hongera zake. Akumbuke tu kuwa hana bahati ya ndoa.
masha'Allah M/mungu awajaalie maisha marefu yenye furaha na upendo,huyo mke wa kwanza ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine wa kiislamu wasiojielewa ambao wako radhi kumuona mume anazini nje ya ndoa kuliko kuoa,na kwa wanaume wa kiislamu yabidi tukubali, kuwa na mke mmoja ni nusu ya ujane, ongeza mke ikiwa uwezo na uadilifu unao,kwa kweli inastikitisha kuona dada zetu wanahangaika mitaani kwa kukosa waume wa kuwaoaPICHA YA PAMOJA WASTARA SAJUKI AKIWA NA MKE MWENZIE!!!
==Wastara akiwa na mke mkubwa baaada ya harusi.. Adai watu msiumize kichwa mke mkubwa kampokea vizuri kwa mikono miwili na wanajuana na kuheshimiana..Full stop.r
View attachment 316300
my take; asisahau ndio kwaaanza safari inaanza
i second you! Wastara na wanawake wajane kama wastara wanahitaji STARA, mume/mke ni stara, ni bora amekubali kuingia katika ukewenza na amestirika kuliko angebaki bila ndoa akawa anazini hovyo nje.masha'Allah M/mungu awajaalie maisha marefu yenye furaha na upendo,huyo mke wa kwanza ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine wa kiislamu wasiojielewa ambao wako radhi kumuona mume anazini nje ya ndoa kuliko kuoa,na kwa wanaume wa kiislamu yabidi tukubali, kuwa na mke mmoja ni nusu ya ujane, ongeza mke ikiwa uwezo na uadilifu unao,kwa kweli inastikitisha kuona dada zetu wanahangaika mitaani kwa kukosa waume wa kuwaoa
Ni maneno tu!!! Mwache mwenzio apate flavour za dunia bana.Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Kwa hiyo aendelee kuzini maisha yake yote? Yale mambo mengine hayana replacement, si mazoezi si maji ya moto. We vipi bana.Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
i second you! Wastara na wanawake wajane kama wastara wanahitaji STARA, mume/mke ni stara, ni bora amekubali kuingia katika ukewenza na amestirika kuliko angebaki bila ndoa akawa anazini hovyo nje.
kuna wakati wajane huwa na kila kitu cha kuweza kuendesha maisha yao ila wanakosa mume wa kuwao(stara) na wanaume waliotayari kuwaoa wajane mara nyingi ni wale ambao wameshawahi kuwa kwenye ndoa,ni ngumu kumpata ambaye hajaoa.mimi naona wastara amefanya maamuzi mazuri. ama hao wanaomkejeli, mbona wao hawaolewi wameishia kashafa na skendali(scandles) kila kukicha za zinaa na mabwana wasio na idadi?kipi bora kuolewa mke wenza ukawa starani au kubaki mseja ukazini hovyo nje?
Hongera zake. Akumbuke tu kuwa hana bahati ya ndoa.
hahaa...asante mama wa mapishi. za masiku?MaashaAllah una busara nyingi dada
Kwenye dini ni Sunna lakini sio siri mie pia mmmmmmmmm mungu anistiri...Mmmh mi siwezi hata sekunde moja
Sasa hapo yupi biMkubwa na yupi New-Mwenza? !! ? Nawe acha roho mbaya..wakaribishe akina s...Kwenye dini ni Sunna lakini sio siri mie pia mmmmmmmmm mungu anistiri...