Wastara: Mimi na mke mwenza shega tu

Wastara: Mimi na mke mwenza shega tu

Mamndenyi said:
Hongera zake. Akumbuke tu kuwa hana bahati ya ndoa.
Ndoa maana yake nini kwani? Kuna ndoa za aina ngapi kwani?
 
Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Wewe unataka mwenzio ajiingize kwenye uasherati, je kwa kuwa mola amemchukua mumewe ndo tuseme kwa umri alionao asipige gemu tena? Is it realistically possible? The answer is Noo Labda kama unamshauri ajiingize kwenye uasherati.
 
kama mliskiliza U Heard ya clouds fm ndo mtaamin kua wastara amepaniki hii ishu baada ya kuachana na bond james wa final cut channel ten
 
PICHA YA PAMOJA WASTARA SAJUKI AKIWA NA MKE MWENZIE!!!
==Wastara akiwa na mke mkubwa baaada ya harusi.. Adai watu msiumize kichwa mke mkubwa kampokea vizuri kwa mikono miwili na wanajuana na kuheshimiana..Full stop.r

View attachment 316300
my take; asisahau ndio kwaaanza safari inaanza
masha'Allah M/mungu awajaalie maisha marefu yenye furaha na upendo,huyo mke wa kwanza ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine wa kiislamu wasiojielewa ambao wako radhi kumuona mume anazini nje ya ndoa kuliko kuoa,na kwa wanaume wa kiislamu yabidi tukubali, kuwa na mke mmoja ni nusu ya ujane, ongeza mke ikiwa uwezo na uadilifu unao,kwa kweli inastikitisha kuona dada zetu wanahangaika mitaani kwa kukosa waume wa kuwaoa
 
Duh! Kumiliki papuchi mbili zilizokaa kiutamuutamu hivyo na zinazopendana ni laaaaaha!
Kweli pepo ipo hapahapa duniani sio mpaka ujilipue ukapewe mabikira 72
Hongera Mheshimiwa
 
masha'Allah M/mungu awajaalie maisha marefu yenye furaha na upendo,huyo mke wa kwanza ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine wa kiislamu wasiojielewa ambao wako radhi kumuona mume anazini nje ya ndoa kuliko kuoa,na kwa wanaume wa kiislamu yabidi tukubali, kuwa na mke mmoja ni nusu ya ujane, ongeza mke ikiwa uwezo na uadilifu unao,kwa kweli inastikitisha kuona dada zetu wanahangaika mitaani kwa kukosa waume wa kuwaoa
i second you! Wastara na wanawake wajane kama wastara wanahitaji STARA, mume/mke ni stara, ni bora amekubali kuingia katika ukewenza na amestirika kuliko angebaki bila ndoa akawa anazini hovyo nje.
kuna wakati wajane huwa na kila kitu cha kuweza kuendesha maisha yao ila wanakosa mume wa kuwao(stara) na wanaume waliotayari kuwaoa wajane mara nyingi ni wale ambao wameshawahi kuwa kwenye ndoa,ni ngumu kumpata ambaye hajaoa.mimi naona wastara amefanya maamuzi mazuri. ama hao wanaomkejeli, mbona wao hawaolewi wameishia kashafa na skendali(scandles) kila kukicha za zinaa na mabwana wasio na idadi?kipi bora kuolewa mke wenza ukawa starani au kubaki mseja ukazini hovyo nje?
 
Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Ni maneno tu!!! Mwache mwenzio apate flavour za dunia bana.
 
Hongera zake ila kiukweli ukifiwa na mme tulia na wanao somesha wanao ishi maisha mazuri. Upande wangu kufiwa na mme ukaolewa tena ni aibu. Haijalishi wewe ni dini gani. Mara na huyo mme mpya afe kwa majonjwa yake usingiziwe umeleta mkosi kwenye familiya? Khaa
Kwa hiyo aendelee kuzini maisha yake yote? Yale mambo mengine hayana replacement, si mazoezi si maji ya moto. We vipi bana.
 
Aliimba Marijani "ukiolewa bora ukute mke mwenzio mwenye imani....kama si hivyo nakwambia ndugu yangu utajuta"
 
i second you! Wastara na wanawake wajane kama wastara wanahitaji STARA, mume/mke ni stara, ni bora amekubali kuingia katika ukewenza na amestirika kuliko angebaki bila ndoa akawa anazini hovyo nje.
kuna wakati wajane huwa na kila kitu cha kuweza kuendesha maisha yao ila wanakosa mume wa kuwao(stara) na wanaume waliotayari kuwaoa wajane mara nyingi ni wale ambao wameshawahi kuwa kwenye ndoa,ni ngumu kumpata ambaye hajaoa.mimi naona wastara amefanya maamuzi mazuri. ama hao wanaomkejeli, mbona wao hawaolewi wameishia kashafa na skendali(scandles) kila kukicha za zinaa na mabwana wasio na idadi?kipi bora kuolewa mke wenza ukawa starani au kubaki mseja ukazini hovyo nje?

MaashaAllah una busara nyingi dada
 
Ataachika soon hawezi vumilia mzunguko wa nyumba kubwa na ndogo
 
maisha tunapita. fanya mambo yanayokupa furaha. mnaolialia hapa wote hamnazo. define your life.
 
Back
Top Bottom