Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
-
- #41
kakosea sana..
Nipo hapa,bilionea wa mapenzi
Hahaha mkuu hayo mapenzi yatazaa mahammer na maprado?mwenzio anataka billionea wa makaratasi
Nani ahangaike na mtu ana nuksi kiasi hicho?
Au wawe na wasemaji wao kama nchi nyingine wafanyavo au timu
Nani ahangaike na mtu ana nuksi kiasi hicho?
Mtu mwenyewe ana mkosi, sijui mlango wa nane huyu
Mtu mwenyewe ana mkosi, sijui mlango wa nane huyu
sawa sijaumbika unafikiri ni sahihi anavyosema je wakijitokeza masikini au wa kipato cha kati atakataa.hata mkosi ni majaliwa piaUnafaa ujaumbika. Nani hajuaye ya kesho
sawa sijaumbika unafikiri ni sahihi anavyosema je wakijitokeza masikini au wa kipato cha kati atakataa.hata mkosi ni majaliwa pia
mimi sio mwanamkeKila mtu ana haki ya kupenda mtu amtakaye na vigezo vyake.
Wewe upendi mabilionea?
mimi sio mwanamke
Nishasema tiari,mkosi ni hali ya kutokewa na mambo ambayo kibinaadamu tunaamini ni mabaya.sasa wastara yamemuandama sana.Na kwa uzoefu huo sikutaraji atamke maneno aliyoyasema ya kibaguzi bila kujali yatakayokuja kunitokea naamini nimemjibu istahilivyo.vinginevyo mnisamehe ila sifuti kauli