Wastara: Nataka kuolewa na bilionea sasa hivi

Wastara: Nataka kuolewa na bilionea sasa hivi

Anataka kuendesha hammer..
Huyu wakina wema washamuaribu..soon ataanza kukitembeza
 
Nani ahangaike na mtu ana nuksi kiasi hicho?
 
Nyie wote kimoyo moyo mnapenda mabilionea.

Tanzania ni ya sita duniani kwa raia wao kuishi nchini bila furaha.
 
sawa sijaumbika unafikiri ni sahihi anavyosema je wakijitokeza masikini au wa kipato cha kati atakataa.hata mkosi ni majaliwa pia

Kila mtu ana haki ya kupenda mtu amtakaye na vigezo vyake.

Wewe upendi mabilionea?
 
Nishasema tiari,mkosi ni hali ya kutokewa na mambo ambayo kibinaadamu tunaamini ni mabaya.sasa wastara yamemuandama sana.Na kwa uzoefu huo sikutaraji atamke maneno aliyoyasema ya kibaguzi bila kujali yatakayokuja kunitokea naamini nimemjibu istahilivyo.vinginevyo mnisamehe ila sifuti kauli
 
Kwa chaguo lake dhana ya kufa na kuumbika ifutwe.maana wasiojiweza wametengwa hapa.
 
Nishasema tiari,mkosi ni hali ya kutokewa na mambo ambayo kibinaadamu tunaamini ni mabaya.sasa wastara yamemuandama sana.Na kwa uzoefu huo sikutaraji atamke maneno aliyoyasema ya kibaguzi bila kujali yatakayokuja kunitokea naamini nimemjibu istahilivyo.vinginevyo mnisamehe ila sifuti kauli

Naomba muongozo. Mheshimiwa naomba utengue kauli yako
 
Back
Top Bottom