Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Nani ahangaike na mtu ana nuksi kiasi hicho?
Nani ahangaike na mtu ana nuksi kiasi hicho?
hamshindi aunt ezekiel kwa nuksi..
Anataka kuendesha hammer..
Huyu wakina wema washamuaribu..soon ataanza kukitembeza
Kwa nini?
Kwa nini?
Demu mwenyewe kajaa mikosi chungu nzima,akafie mbele!
Aha aha money stunna unajifanya lukuvi.
Demu mwenyewe kajaa mikosi chungu nzima,akafie mbele!