Wastara: Nataka kuolewa na bilionea sasa hivi

Wastara: Nataka kuolewa na bilionea sasa hivi

Watapatikana wengi tu mabillionea, endelea kusubiri
 
Anataka kuendesha hammer..
Huyu wakina wema washamuaribu..soon ataanza kukitembeza

Niliwauliza mwanzo huyu dada is already used, km zinavuka laki moja, anawezaje kuuzika kwa bei ya kwenye makaratasi? Au ndo ile mnasemaga eti haina makombo? Daah mi naona uzinduzi hua unaongeza gharama pia wajameni.
 
Kama anataka bilionea aende kwa Kapuya mzee hatakataa anapenda vishombe shombe
 
Demu mwenyewe kajaa mikosi chungu nzima,akafie mbele!
 
Demu mwenyewe kajaa mikosi chungu nzima,akafie mbele!

Mkuu naomba ufute kauli yako.wewe unajua ya kesho. Futa hiyo kauli umeniumiza sana.

Pia yeye kusema anataka bilionea siyo kosa wewe kama unataka mwanaume suruali ni wewe mtakula mapenzi na suruali hizo.

Maneno uliyoandika hayana utu na ubinadamu.
 
Alitakalo na liwe kwa upande wake mabilionea jitokezeni sharti ni moja la kuwa bilionea
 
Hayo maneno katamka mwnyw au swaga tu za wauza magazet pendwa?
manake wale kwa umbea hawajmbo ndio maana mimi cpendi magazeti yao
 
Rushwa,kukwepa kodi,dhuluma,ujambazi,biashara haramu,utoaji kafara ndio vyanzo vya mabilionea tanzania.

Kuna kero za folen hivyo kuwa na Prado au hammer sio issue wakununulie chopper.
 
Huyu nae siku hizi amekua media attention seeker mpaka anaboa...its too much now,tumechoka nae...
 
Hummer,Prado magari ya kiume hayo.

we pambana na Starlet na Vitz mama.
 
Back
Top Bottom