Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Balaaa!nakumbuka alivyotoka India karudi kama wiki kaenda kula bata refu Sweden!jamani mgonjwa huyuWastara ana vituko
Duh!! Ufipa tena? Hapana ni Lumumba ndio analikopeleka unga wakati wa kampeni!Augue pole, sijui bwana mkubwa atatoa zingine au saiv zamu ya ufipa!
ha hahahaaKaumwa kipindi kibaya , mafuta ya kula hakuna, sukari bei juu. Tunakula chukuchuku huku. Mwambieni apambane na hali yake. Vyuma Vimekakamaa.
ha hahaaaMbona kama wanamfunga wiring kichwani?
ha hahaa....aiseee....Sas ahayo mawaya si yatampiga shoti?
wastara...alishawahi kufikwa na hiyo skendo"nani lesbian hapo?
ha haaaahaa...kama zile za TTCLKajizungushia manyaya kama network carbinet. Kweli msanii wa bongo akiwa kitandani mgonjwa!
Mbna kma kaweka powerbank kuongeza chajiUgonjwa umehamia kichwani
Mchango episode3 unahitajika
Mshana Jr nikikuomba ufafanuzi kidogo nitakukwaza?Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
Mwambieni wanao ugua ni wengi sio yy pekeyakeJizi hili demu, linataka mchango tena....waliache tuone kama litakata waya