Wastara taabani, anaumwa...

Wastara taabani, anaumwa...

Anayejua utapeli Wa huyu Dada anieleweshe jamani mana mi sijui japo naona kuna wadau wanatuma jumbe juu ya utapeli Wa huyu Dada. Alitapeli nn?
 
Jaman jaman jaman anaumwa kweli kama wizi baso tumwachie Mungu ila kama unaweza changia changa uhai ni muhinu sana
 
Duuuuh ngja tuone tena kama kibakuli atachangia tena maana Alivyomponda domo hakujua kama hataumwa tena[emoji109][emoji109][emoji109]siries ya 3 anachangiwa
 
Kila akipata nafuu anaishia kuchupa mipaka pengine bora abakie hivi
 
Back
Top Bottom