Wastara taabani, anaumwa...

Kaumwa kipindi kibaya , mafuta ya kula hakuna, sukari bei juu. Tunakula chukuchuku huku. Mwambieni apambane na hali yake. Vyuma Vimekakamaa.
Kabisa kabisaa..
 
Anayejua utapeli Wa huyu Dada anieleweshe jamani mana mi sijui japo naona kuna wadau wanatuma jumbe juu ya utapeli Wa huyu Dada. Alitapeli nn?
Mkuu sio utapeli per se bali ni kulia lia kwingi kila anapougua. Akiugua anapenda kuweka picha zake kwenye mitandao na kulialia huku akiomba msaada wa matibabu. Na kuna uvumi kuwa anapopewa fedha huwa anakwenda ''kufanya matibabu'' kidogo sana na nyingine anazitumia yeye.
 
alienda na mpiga picha kabisa MICHUZI!!!! Ha ha ha ana bahati lakini waya zote hizo kichwani sisi huwa tunapapaswa na madaktari wana mikono migumu
Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
 
Michango awamu ya tatu watanzania tumechokaa
 
Taabani ni mtu ambaye hajiwezi kabisa... Lakini kwa pozi hilo la makeup nywele nk hiyo ni bana bongo muvi
hahahaah, kumbe ni hivyo. basi mwenzio nikajua labda umeona "kwenye dira ya utaalamu wako" hahahaha. Unajua nyie wataalamu tunawaogopa sana. Nilidhani labda umeona kwenye "tiba" zako kuwa alijiandaa kuumwa!! hahahahahha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…