hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
na kwambia this " time imekula kwake .trust me '''Soon mchangoo safarii hii Us kipimo kiko Us
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kwambia this " time imekula kwake .trust me '''Soon mchangoo safarii hii Us kipimo kiko Us
Viuno akate Lumumba mchango wake wa kuigiza anaumwa utoke ufipaAugue pole, sijui bwana mkubwa atatoa zingine au saiv zamu ya ufipa!
Kabisa kabisaa..Kaumwa kipindi kibaya , mafuta ya kula hakuna, sukari bei juu. Tunakula chukuchuku huku. Mwambieni apambane na hali yake. Vyuma Vimekakamaa.
Mkuu sio utapeli per se bali ni kulia lia kwingi kila anapougua. Akiugua anapenda kuweka picha zake kwenye mitandao na kulialia huku akiomba msaada wa matibabu. Na kuna uvumi kuwa anapopewa fedha huwa anakwenda ''kufanya matibabu'' kidogo sana na nyingine anazitumia yeye.Anayejua utapeli Wa huyu Dada anieleweshe jamani mana mi sijui japo naona kuna wadau wanatuma jumbe juu ya utapeli Wa huyu Dada. Alitapeli nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa staged.wastara...alishawahi kufikwa na hiyo skendo"
Jamani ile ilikuwa imeandaliwa tu kwenye birthday yake.Alikutwa na lile lisagaji chumbanii ,,anapenda mambo ya vikojoleo
KumbeJamani ile ilikuwa imeandaliwa tu kwenye birthday yake.
mmmhh " haya ..Ilikuwa staged.
Akafanyiwa kama surprise ya birthday.Nenda Youtube kuna video nzima.
Inasemekana huyu dada anaumwa tena,yuko taabani dua zenu zinahitajika wadau.....View attachment 777671
Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
hahahaah, kumbe ni hivyo. basi mwenzio nikajua labda umeona "kwenye dira ya utaalamu wako" hahahaha. Unajua nyie wataalamu tunawaogopa sana. Nilidhani labda umeona kwenye "tiba" zako kuwa alijiandaa kuumwa!! hahahahahha.Taabani ni mtu ambaye hajiwezi kabisa... Lakini kwa pozi hilo la makeup nywele nk hiyo ni bana bongo muvi
Naona kama mwili wake ulikuwa na shoti... anafanyiwa wiring...Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban
Dah tumuombee tu ila tafsiri ya picha inaonesha wazi alijiandaa kuumwa taaban