Wastara taabani, anaumwa...

Wastara taabani, anaumwa...

Huyu nae kuumwa kwake anafanya tukio la taifa, watanzania wote tusononeke...mswahili sana
Si Ndo hapo wakati kuna watu wanashida na hawana uwezo Hata ya kwenda hospital yeye tu anataka achangiwe mamilion!

Ova
 
Hizo nyaya kichwani sio charger za pini ndogo kweli? [emoji15]

Get well soon Wastara. Mloganzila patakufaa awamu hii ni pazuri tu.


IMG_4327.JPG
 
Back
Top Bottom