Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Punguza au acha kabisa huruma isiyo na manufaaKuna vitoto vinatia huruma vimezaliwa wasukuma
Kuna vitu vinaepukika mkuu. Halafu hili kabila letu hata awe amesoma vipi nina dada yangu ni Lecture chuo X mara kadhaa akija anabeba makuku kupeleka akafuge ukifika kwake huoni hata hao kuku alijisumbua kuwabeba unashangaa tuUmenikumbusha kwenye treni jamaa alipanda na kuku, wale jamaa wa mle ndani walimsumbua Sana mshikaji wakamchukia yule kuku.
Tunafika mwisho wa safari eneo la jikoni tunaona manyoya tu yamezagaa.
Kwa ufupi Afrika ni shida, jamaa kupanda na kuku kwenye treni sidhani kama adhabu yake ilikuwa kuku wake kuchinjwa na kupikwa Supu.
Afrika Ustaarabu na kufuata Sheria bado Sana acha tuishi vile inawezekana
Wengine ni wasomi kabisa.Wasukuma wa vijijini ni watu wanaoishi katika Ulimwengu wao tofauti kabisa, ni kuwavumilia tu, wataendelea kustaarabika taratibu.
Mkungu si unaweka kwenye buti la gari?Mbona mchaga nasafiri kwa basi huku nimeupakata mkungu wangu wa ndizi na hamnisemi?
Why?
La hasha! Mimi huupakata kwa maana naogopa kuupoteza.Mkungu si unaweka kwenye buti la gari?
Ubadirike sasaLa hasha! Mimi huupakata kwa maana naogopa kuupoteza.
Kwenye buti kuna mengi na mengi yana wengi.