Wasukuma hii ni karne ya 21 Tuelimike. Unasafirije na kuku kwenye basi kutoka mkoa huu hadi mkoa mwingine?

Wasukuma hii ni karne ya 21 Tuelimike. Unasafirije na kuku kwenye basi kutoka mkoa huu hadi mkoa mwingine?

Mimi ni mfugaji wa kuku,mbuzi na kwa uchache sana Ng'ombe hivyo huwa natambea maeneo na maeneo nakutana na kila aina ya mbegu za mifugo tajwa hapo juu.

Mara kadhaa nimekuwa nikishuhudia hii tabia ya kusafiri na kuku mara moja nimewahi safiri na msukuma na mbwa wa4 wadogo ........miaka na miaka bado hatubadiriki kabisa.Tunachosha angesema mgogo au mzaramo tungesema anatutania.

Sikatai kabisa kuwa kusafirisha mifugo tajwa hapo juu kuwa ni kosa lakini nakataa namna mifugo hiyo hasa kuku inavyosafirishwa kwenye gari la abiria.

Mtu anapanda gari mfano geita kwenda kahama ana vifaranga vya kuku 2 au kimoja ni kwamba huko kahama kabisa huwezi pata kifaranga cha sh 6000 hadi 10000 kama kweli wewe ni mdau wa ufugaji?

Mbaya zaidi unapanda na msukuma siti moja kutoka kahama hadi mpanda ana kuku wake ni safari ya siku nzima hii ni haki kweli?

Mambo mengine mnatufanya tuonekane wasukuma wote ni watu wasiojielewa mbaya zaidi ukiambiwa kwa lugha ya staha unajibu kwa sauti kuubwa halafu wasukuma wenzetu wasiojielewa kama wewe wanadikia utafikri umeomba lifti.

Wito kwa wenye magari angalieni namna nzuri za kusafirisha kuku sio tuwe tuna kaa na mtu aliyepakata kuku safari nzima akinya halufu yetu sote asee haifai

Hii ni keroView attachment 3565962
Acha zako mdau!
Mbona mswano tu!
 
Binafsi ikitokea nimepanda basi la Mkoani, halafu nikakaa siti moja na Msukuma mchafu wa porini aliyevaa mishanga mwili mzima na muda wote akiongea na simu kwa lugha yao ya Kisukuma kwa sauti ya juu, au Mmasai/Mbarbaig aliyejipaka mafuta ya samli; hakika hiyo safari yangu mara zote hugeuka kuwa chungu na ya majuto sana.
 
Mkuu iko hivi;
Ukimuona msukuma kapanda na kuku kwenye bus jua ya kuwa huyo/hao kuku ni mbegu original kaamua kuchukua akaiendeleze huko aendapo.
Kwamfano kuku jamii ya KUCHI kupata mbegu og nowadays ni kipengele sana ila usukumani bado wapo.
Sasa ungekuwa ni wewe ungechagua kipi? Kusafirisha mayai ktk hofu ya kuyapasua ama usafirishe kuku ktk hofu ya kuwakera wasafiri wenzio?

Halafu hii kusema wasukuma tu ndo tunaongoza kusafirisha mifugo hasa kuku, siyo kweli. Jaribu kusafiri kipindi cha kiangazi mikoa ya Tanga, Pwani na hata Morogoro ujionee maajabu ya wazigua, wakwere na waluguru wanavyo safiri na kuku weupe, weusi na wekundu kwaajili ya kwenda kuroga kwa waganga baada ya mavuno.
 
Mimi ni mfugaji wa kuku,mbuzi na kwa uchache sana Ng'ombe hivyo huwa natambea maeneo na maeneo nakutana na kila aina ya mbegu za mifugo tajwa hapo juu.

Mara kadhaa nimekuwa nikishuhudia hii tabia ya kusafiri na kuku mara moja nimewahi safiri na msukuma na mbwa wa4 wadogo ........miaka na miaka bado hatubadiriki kabisa.Tunachosha angesema mgogo au mzaramo tungesema anatutania.

Sikatai kabisa kuwa kusafirisha mifugo tajwa hapo juu kuwa ni kosa lakini nakataa namna mifugo hiyo hasa kuku inavyosafirishwa kwenye gari la abiria.

Mtu anapanda gari mfano geita kwenda kahama ana vifaranga vya kuku 2 au kimoja ni kwamba huko kahama kabisa huwezi pata kifaranga cha sh 6000 hadi 10000 kama kweli wewe ni mdau wa ufugaji?

Mbaya zaidi unapanda na msukuma siti moja kutoka kahama hadi mpanda ana kuku wake ni safari ya siku nzima hii ni haki kweli?

Mambo mengine mnatufanya tuonekane wasukuma wote ni watu wasiojielewa mbaya zaidi ukiambiwa kwa lugha ya staha unajibu kwa sauti kuubwa halafu wasukuma wenzetu wasiojielewa kama wewe wanadikia utafikri umeomba lifti.

Wito kwa wenye magari angalieni namna nzuri za kusafirisha kuku sio tuwe tuna kaa na mtu aliyepakata kuku safari nzima akinya halufu yetu sote asee haifai

Hii ni keroView attachment 3565962
Wongeze na wanyantuzu mheshimiwa spika
 
leo dada uje utetee nduguzo
Trending ya mitandao haitupi shida sie wasukuma.
Nimezunguka Tanzania nzima Tena ndani ndani huko nikiri tu kusema WASUKUMA ni kabila lililostaarabika mnooo, maendeleo pamoja na utu.
Narudia kelele za mitandao hazitukeli sisi wasukuma tunaoijua Tanzania hii vizuri.
Acha mada za wasukuma ziende sababu ndio kabila pendwa.
 
Si mtuachee 😏

1775105813390.gif
 
Hivi kwa nini huwa inakuwa vigumu sana wasukuma kuongea na simu kwa faragha taratibu bila kupiga kelele? Iwe kwenye usafiri wa umma, bar, hospital au popote mnajiachia tu mpaka muambiwe mpunguze volume!
 
Mimi huwa nawalipia siti kabisa na ninazuia abiria wawili ili kupisha tenga langu halafu zile soda za kwa ajili ya hizo siti ninazichukua na kuwawekea kama maji wanakunywa.

Hapa kikubwa serikali ipate mapato yake hata fisi akalishwe kwenye siti kukaa na abiria asiyejitambua kiasi cha kukosa hata mkweche wa milioni 15. Asiyetaka kusafiri na kuku wangu aendeshe gari lake binafsi.
 
Mimi huwa nawalipia siti kabisa na ninakaa na ninazuia abiria wawili ili kupisha tenga langu halafu zile soda za kwenye hizo ninazichukua na kuwawekea kama maji.

Hapa kikubwa serikali ipate mapato yake hata fisi akalishwe kwenye siti. Asiyetaka kusafiri na kuku wangu aendeshe gari lake binafsi.
Hatutaki kuondoka na utitiri kwenye bus la abiria. Ni kinyume cha sheria kusafirisha mifugo katika gari la abiria, LATRA wamesinzia katika hili.
 
Back
Top Bottom