Wasukuma hii ni karne ya 21 Tuelimike. Unasafirije na kuku kwenye basi kutoka mkoa huu hadi mkoa mwingine?

Wasukuma hii ni karne ya 21 Tuelimike. Unasafirije na kuku kwenye basi kutoka mkoa huu hadi mkoa mwingine?

Nimecheka kwa sauti , mbona unatusimanga mkuu. Tawapatia hii taarifa wananzengo waache kuniletea vitoweo. anyway, you made my day
😀😀😀😀😀😀😎
NB. Hio picha naona huyo mama hajapenda kukaa na huyo jamaa mwenye kuku.
Ungelikuwq NiWewe ungependa? Yaani kuku likitikiswa kidogo linapiga kelele gweeeh mara linye. Sio sawa hata Mimi huwa nasafirisha kuku kistaarabu sana .
 
Mnatucheka sana na sisi hatutaacha mila na desturi zetu nyie mnao fagilia za waarabu na wazungu mtajua wenyewe.Pia mnasahau kua sisi ni wafugaji na hua hatupendi kwenda ugenini mikono tupu lazima tubebe msosi ama kitoweo.
Mnajifanya waaarabuuu na wazuuunguu kumbe mafala tu tuacheni na ushamba wetu mbona sisi wala hatuteseki na nyie. Wengi wenu humu mikoa mnayo toka hao mnao waita washamba au sio wastaarabu wapo wanawakimbiza vibaya ktk kutafuta fulsa na hata kuwazidi kimaendeleo kwenye mikoa yenu.WAsukuma tupo sana na tutawasumbua sana mpka muache kua watumwa wa mila zilizo kuja na meli
 
Wasukuma na ushamba
20260403_120933.jpg
 
Back
Top Bottom