Wasukuma jamani.... Tabia hii ina maana gani!!

Wasukuma jamani.... Tabia hii ina maana gani!!

Alhaahaa!! Vp mkuu kakukera sana eh[emoji28][emoji28][emoji28]
 
WASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Afadhali ya hao, wewe kabila lako kuoga mpaka wanyeshewe na mvua, kunguni,chawa na viroboto ndiyo wageni wenu.
 
Back
Top Bottom