jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Waambie mkuu, wako hoi kabisa..Wasukuma wap? Wa mjini au Wa kijijini? Naona wa Kijijini sasa wanaisumbua Tz Hahahahah mmoja kashika jiji zima hamkohoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie mkuu, wako hoi kabisa..Wasukuma wap? Wa mjini au Wa kijijini? Naona wa Kijijini sasa wanaisumbua Tz Hahahahah mmoja kashika jiji zima hamkohoi
Dunia inabadirika kwakwel kama leo wasukuma na ushamba wao wanahangaisha mji hahahahaWaambie mkuu, wako hoi kabisa..
🙂🙂🙂Dunia inabadirika kwakwel kama leo wasukuma na ushamba wao wanahangaisha mji hahahaha
We ni mdarisalam au, Mbona unawafagilia wasukumaWASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
spelling omitted!spelling mistake!ni mzaramo
Ushamba mzigoWasukuma wap? Wa mjini au Wa kijijini? Naona wa Kijijini sasa wanaisumbua Tz Hahahahah mmoja kashika jiji zima hamkohoi
Nina mashaka na kabila lakoWASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Bora weweSidhani kama wasukuma wana hiyo tabia, naona huwajui vizuri wakerewe, wakala na wajita
usafi muhimu. sio nyie watu wa tabora na mtwara . kuoga kwenyewe dakika ,akitoka ananuka Unajiuliza alienda kuoga au kujichafua.Warangi me navojua nao wataalam wa kusugua ndala kweli,
Hahahahaha
Afadhali ya hao, wewe kabila lako kuoga mpaka wanyeshewe na mvua, kunguni,chawa na viroboto ndiyo wageni wenu.WASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Onyelile bugondwe be!WASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Kuna Wahaya kwa kupenda KUSUGUA Visigino..!Warangi me navojua nao wataalam wa kusugua ndala kweli,
Hahahahaha