Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Watanzania tupunguze ukabila, inasaidia nini kila siku kuleta nyuzi za ukabila na ukanda
Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
 
Mikoa ya manyara, arusha, kilimanjaro, tanga, dar, pwani, lindi na mtwara huko hawajahamia kwa wingi kama mikoa mingine jirani na sukumaland. Ukiacha kwao mwanza, shinyanga, geita na simiyu tabora ni kama kwao na wameenda mpaka katavi, rukwa, ruvuma, mbeya, iringa, njojobe, singida, dodoma, morogoro, songwe, kigoma, kagera, kigoma na mara utawakuta wasukuma wengi tu katika vijiji vya mikoa hiyo.ni watu wazuri hawana dharau na wenyeji wao
 
Nipo kijiji cha Madihani hapa, sijawahi kumuona Msukuma maeneo haya.

Mzawa wa kijiji cha Iyoka, sijawahi kumuona Msukuma kwenye kijiji chetu.
 
Inasikitisha sana,
Haisaidii chochote zaidi ya kuongezeka umaskini tu.
Nini inaongeza umaskini hapo? Hawa jamaa ni wachapa kazi haswa sasa umaskini unatoka wapi?
 
Back
Top Bottom