Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

upo sahihi wasukuma wanakaribia watu milion 15 Tanzania roughly kat ya watu 13 Tanzania mmoja ni msukuma
Hiyo ni 25% ya watanzania wote, hao watu Nyerere asinge wanyima elimu ya juu wasinge shikika kwa sasa.
 
Wapo hiyo mikoa yote uliyosema hawapo, tena wengi sana. Hata visiwani Znz wengi tembelea sehemu za ujenzi ni wasukuma wengi wanaongea lugha yao tuu.
Mimi nimewakubali sana.
hivi mikoa kama manyara, arusha na kilimanjaro wasukuma kwa wingi wapo maeneo gani wanaishi wao tu? Achana na wale watumishi wa umma na wawili watatu wanaotafuta fursa za biashara na masomo. Nataka nione tu kijiji au mtaa wamejenga wasukuma watupu wanaishi kama mikoa mingine isiyo yao unawakuta kijiji kizima au mtaa/kitongoji ni wasukuma watupu huko kilimanjaro, arusha na manyara
 
Hiyo ni 25% ya watanzania wote, hao watu Nyerere asinge wanyima elimu ya juu wasinge shikika kwa sasa.
Usimsingizie Nyerere, wasukuma hawakupenda kusoma kipindi hicho...

Wao walijikita kwenye ufugaji na kilimo...

Sasa hivi wameamka, wanasoma sana, karibu kila kozi huko vyuoni utawakuta kwa wingi.
 
Usimsingizie Nyerere, wasukuma hawakupenda kusoma kipindi hicho...

Wao walijikita kwenye ufugaji na kilimo...

Sasa hivi wameamka, wanasoma sana, karibu kila kozi huko vyuoni utawakuta kwa wingi.
Wangependa je kusoma wakati mkoa yote ya wasukuma hakuweka chuo kikuu hata kimoja? Wajati ndo walikua mojority ya makabila yote Tanzania.
 
Uharibifu mkubwa wa mazingira kutokana na kuhama na mifugo yao mingi. Sehemu nyingine wamezua migogoro baina yao na wakulima.
Nawapongeza kwa kuchapa kazi!
 
Uharibifu mkubwa wa mazingira kutokana na kuhama na mifugo yao mingi. Sehemu nyingine wamezua migogoro baina yao na wakulima.
Nawapongeza kwa kuchapa kazi!
Wanaongoza kwa kumiliki mifugo mingi nchini, pia ndio wazalishaji namba moja wa mpunga.. asilimia kubwa ya mashine za kukoboa mpunga zinamilikiwa na wao.. ukifika machimboni wao pia ndio mabingwa wa kuzamia mashimo marefu (rongobesi)
 
Back
Top Bottom