Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Mwenye kutaka awe na sura ya kitaifa ni lazima awekeze kwa wasukuma kiasi maana wana uwezo wa kuamua nani awe nani,hasa upande wa siasa.
Acha uongo? Wapi waliwahi kuamua nani awe nani? Hata hiyo kanda ya ziwa pekee pale mkoani Mwanza hawana nguvyu ya kuamua kuliko Wakurya
 
Mozambique mpaka kesho wanajua wasukuma tunaichi yetu tofaut na Tanzania

Maana sisi tulikuwaga hatuzungumzi kiswahili ni mwendo wa kisukuma kwa kwenda mbele
Kwahiyo watu wa huko wakawa wanajua watanzania ni wengine na wasukuma ni wengine maana haiwezekan nchi moja lakin lugha mbili tofaut na utamadun tofaut na majina tofaut
 
Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Bhebhe shi.
Ubhise na bulogi, yaya gete
 
Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Nakubaliana nawewe ushirikina na ushirikiano ni Pete na kidole mkuu.

Ushirikina ni jadi yetu ni asili ya muafrika
 
Mozambique mpaka kesho wanajua wasukuma tunaichi yetu tofaut na Tanzania

Maana sisi tulikuwaga hatuzungumzi kiswahili ni mwendo wa kisukuma kwa kwenda mbele
Kwahiyo watu wa huko wakawa wanajua watanzania ni wengine na wasukuma ni wengine maana haiwezekan nchi moja lakin lugha mbili tofaut na utamadun tofaut na majina tofaut
Umesema kweli ngosha, Mungu kawabariki sana maana kila mnapokuwa mnakandamiza kisukuma na mnaishi kwa umoja sana.
Kongole zenu.
 
Back
Top Bottom