Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Hawajafika boss, watakuwa wanachezea 20m kasoroKwa sasa mmeshafika nusu labda mzidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajafika boss, watakuwa wanachezea 20m kasoroKwa sasa mmeshafika nusu labda mzidi.
Ng'wa Lugiko. Uilumbuyo alehoOnene olwembo lone hagishiwaga NG'WA LUGIKO
One olwembo lone ng'wa bhododiOnene olwembo lone hagishiwaga NG'WA LUGIKO
Anayeamua nani awe nani ni tume ya uchaguzi wanaohesabu kura.Mwenye kutaka awe na sura ya kitaifa ni lazima awekeze kwa wasukuma kiasi maana wana uwezo wa kuamua nani awe nani,hasa upande wa siasa.
Kwa katiba ipi na tume ipi?Wasukuma ni wengi sana nchi hii, ni wakarimu sana ila bado wamelala, siku wakitoka usingizini watakuwa wanaamua nani awe Rais wa nchi.
Nyie kabila gani mnaocheleweshwa na wasukuma? Jipangeni muendelee bila kutegemea wasukuma, hawa jamaa hawaondoki wanaongezeka tuu.Wasukuma wanatuchelewesha maendeleo.wao na ccm wanadai imewalea na kuwakuza,Hivyo hawawezi kutokuichagua hata kama inafanya mambo ya hovyo
Umetumia takwimu gani mkuu?Wasukuma wanazaa sana ila si wavivu na wanabidii ya kutafuta na hawana njaa, wengi wana mali za kutosha kuishi na pia wana mifugo mingi. Hàta mikoa yote wanayoishi hukuti wakiwa maskini wa kuombaomba.
Kwa maisha ya kiafrika wako sawa kuzaana maana wanayamudu maisha,
eti To yeye
Tulya
Katika kitu wasukuma wapo vzr ni pamoja na kutokuwa wakabira, kasikazin hata kama mtu ni mbovu ila kama anashindana na mtu kutoka nje yao hawawez kutomchagua huyo wa kwao mbovu,Nyie ni km waarabu,
Wingi wenu Hauna ht faida nampala wenu alizimishwa kimya! Na nyie mpo wengi kimya tu!☹️☹️☹️
Ingekuwa watu wa kutoka north huenda pangechimbika
Dena balombo bane binge sana halafu babuza pyee!!Ng'wa Lugiko. Uilumbuyo aleho
Wataamka lini nadhani watakuwa washachelewa sanaWasukuma ni wengi sana nchi hii, ni wakarimu sana ila bado wamelala, siku wakitoka usingizini watakuwa wanaamua nani awe Rais wa nchi.
Walitusua vzr f4 wakachaguliwa chuo Cha maji.......unategemeaje?Eti Mad Max mimi huwa ninajiuliza kwenye sekta ya maji wasukumu wanawekana au ni kwamba wengi wamesomea maji...mfano RUWASA
Nenhe ng'ombe, lizuna lane libheje kayaDena balombo bane binge sana halafu babuza pyee!!
Na Uyole wapo hivi?Wapo good