Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Wachaga wapo nchi nzima kimkakati, tofauti na wasukuma wanaokaa mahali kwa ajili ya kufyeka mapori na kuzaana, wachaga ukiwakuta sehemu ujue n maokoto, infact nchi nzima wapo
 
Mikoa ya manyara, arusha, kilimanjaro, tanga, dar, pwani, lindi na mtwara huko hawajahamia kwa wingi kama mikoa mingine jirani na sukumaland. Ukiacha kwao mwanza, shinyanga, geita na simiyu tabora ni kama kwao na wameenda mpaka katavi, rukwa, ruvuma, mbeya, iringa, njojobe, singida, dodoma, morogoro, songwe, kigoma, kagera, kigoma na mara utawakuta wasukuma wengi tu katika vijiji vya mikoa hiyo.ni watu wazuri hawana dharau na wenyeji wao
Wananiboa tu hasa wale waitwao wafugaji. Ni wachafuuu ila wanazaaa hao balaaa. Kwao kuoa hakuna ukomo, ila ni wachapakazi saaaaana mnoooo. Kila kinachokubali kinalimwa. Wana pesa sana lkn hawataki kusikia habari za banki
 
Wachaga wapo nchi nzima kimkakati, tofauti na wasukuma wanaokaa mahali kwa ajili ya kufyeka mapori na kuzaana, wachaga ukiwakuta sehemu ujue n maokoto, infact nchi nzima wapo
Kweli kabisa wachaga wapo mikoa mingi ila utawakuta mijini tuu kwenye biashara nzuri. Wasukuma wapo mijini ña vijijini wanafanya kazi zote zà nguvu na za akili, hawa wamesambaa sanaa aisee.
 
Wananiboa tu hasa wale waitwao wafugaji. Ni wachafuuu ila wanazaaa hao balaaa. Kwao kuoa hakuna ukomo, ila ni wachapakazi saaaaana mnoooo. Kila kinachokubali kinalimwa. Wana pesa sana lkn hawataki kusikia habari za banki
Kweli nami nimeona kama wewe jamaa hawa popote wapo. Hawajui suala la umalaya wao ni kuoa tu kihalali na kuzaa. Uzuri hàta wake wenza hushirikiana sana. Niliona mmoja anahangaika mke mwenza alikuwa hapati watoto alipopata mtoto alifanya sherehe kubwà sana! Nikajisemea moyoni ningejua toka zamani ningeoa wasukuma.
 
Wananiboa tu hasa wale waitwao wafugaji. Ni wachafuuu ila wanazaaa hao balaaa. Kwao kuoa hakuna ukomo, ila ni wachapakazi saaaaana mnoooo. Kila kinachokubali kinalimwa. Wana pesa sana lkn hawataki kusikia habari za banki
Wasukuma wametofautiana kuna wanyantuzu kuna wa shy na mwanza na kuna wanyamwezi
sifa ni kuzaliana na kazi basi!
 
Mikoa ya manyara, arusha, kilimanjaro, tanga, dar, pwani, lindi na mtwara huko hawajahamia kwa wingi kama mikoa mingine jirani na sukumaland. Ukiacha kwao mwanza, shinyanga, geita na simiyu tabora ni kama kwao na wameenda mpaka katavi, rukwa, ruvuma, mbeya, iringa, njojobe, singida, dodoma, morogoro, songwe, kigoma, kagera, kigoma na mara utawakuta wasukuma wengi tu katika vijiji vya mikoa hiyo.ni watu wazuri hawana dharau na wenyeji wao
Kuna kipindi nliwavuta wasukuma wengi wakaja maeneo ya mwarusembe,jaribu,kimanzi chana jamaa nawakubali wanajua kutamia fursa

Ova
 
Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Wapo hivyo wakiwa ugenini tu...huku kwao ni watu wenye wivu mno! hawataki wageni wawe na maendeleo, wanatuma mbinu zote za hila kuhakikisha wageni hawawi na maendeleo kuwazidi. Wenye nafuu ni ambao wametembea angalau kidogo.
 
Mozambique mpaka kesho wanajua wasukuma tunaichi yetu tofaut na Tanzania

Maana sisi tulikuwaga hatuzungumzi kiswahili ni mwendo wa kisukuma kwa kwenda mbele
Kwahiyo watu wa huko wakawa wanajua watanzania ni wengine na wasukuma ni wengine maana haiwezekan nchi moja lakin lugha mbili tofaut na utamadun tofaut na majina tofaut
Mozambique kuna lugha zaidi ya 40, nusu ya nchi tu ndio wanazungumza kireno.
 
Katika kitu wasukuma wapo vzr ni pamoja na kutokuwa wakabira, kasikazin hata kama mtu ni mbovu ila kama anashindana na mtu kutoka nje yao hawawez kutomchagua huyo wa kwao mbovu,

Ujue Lowasa na Lissu walipata kura nyingi tu kanda ya ziwa na walikuwa wanapata watu wa kutosha kwenye mikutano

Miongoni mwa vitu viliirudisha nyuma sahara media (star tv na RFA) ni mmiliki kutokumuunga mkono JPM bwana Antony Diallo (mmiliki) akiwa ni mwenyekiti wa CCM mkoa Mwanza hakuwa anamuunga mkono JPM, JPM aliteseka sana kupata wadhamini akiwa anatia nia kwenye chama, wakati Lowassa aliungwa mkono

Kwa kasikazini isingetokea hivyo, just imagine JPM anafariki mm nlikuwa usukumani kuna baadhi ya wasukuma walishangilia kifo chake sasa ndio useme waandamane
Wabunge wa Arusha mjini

Mrisho Gambo
Abdulrahaman Kinana
Makongoro Nyerere
 
Wabunge wa Arusha mjini

Mrisho Gambo
Abdulrahaman Kinana
Makongoro Nyerere
Arusha ni kama mji huria, nikisema watu wa kasikazini namaanisha Wachaga, ambao wao ni watu wa Kilimanjaro-Moshi
Sasa Arusha ina Wameru, Waarusha na Masai, Wameru ni kakabira kadogo sana Wamasai wapo sana nje ya mji kwaiyo mji ni kama umekuwa wa wageni, waambie hao watu waende kugombea Moshi
 
Jaffar Michael mbunge wa Moshi mjini mwaka 2015 hakuwa mchaga,
 
Back
Top Bottom