Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Unawajua wanyantuzu wewe? Wana ubaguzi kuliko waarabu, nenda simiyu pale baridi kaanzishe biashara uone, ule mji kuanzia waarabu, wahindi, wachaga walikimbizwa na wenyeji, ukifungua biashara ukianza kujulikana watakutumia jambazi, uchawi, hata kutumia viongozi wa kisiasa au mamlaka kukufanyia figisu.
 
Lini Wahindi na Wachaga walikuwa Bariadi?
Mimi nijuavyo Warabu ndo wafanya biashara wa siku nyingi sana Bariadi!
Halafu hakuna kabila la Wanyantuzu ni jamii ya wasukuma wanaotokea Ntuzu!
 
Wanyantuzu basukuma benabo.
 
nimekuja kukuta hadi uku Zanzibar wasukuma wana himaya zao

na wana miji mikubwa tu

Hapo nikashangaa sana na kusema hawa watu hongera kwao

.....ili sio swala la ukabila
 
Kuna sehemu inaitwa Nyarugusu hapa Zanzibar, wasukuma mulimhola!
 
Acha ulofa, badala ushukuru huko walikoenda wamepokelewa kwasababu nchi yetu haina ukabila we unakuja kuandika upuuzi km huu ili uusaidie nini nchi yako. We una roho ya kichawi
Wewe ndio lofa, Tanzania makabila yote tunaendà kila mahali na hàkuna mtu alifukuzwa kwa sababu ya kabila lake. Hapa ñaoñgelea wingi wà wasukuma kila mahali hapa Tanzania.
 
Wamejaa kila sehemu wanaishi kama ng'ombe tu maporini huko
 
Machawi hayo balaa manafiki kinoma,,yanahalibu mazingira kweli hayapendi wengine wafanikiwe yanaukabila kinoma mengi ni mbumbumbu bora yabaki huko kwao maana yanatuhalibia mazingira mabinafsi kinoma hayo kila yanapoenda yanalazimisha lugha iwe kisukuma nyimbo za kisukuma ama kweli haya yamelogwa
 
Yanatualibia = Yanatuharibia
Yamelogwa = yamerogwa

Ni lini Wasukuma walilazimisha Kisukuma?
 
Machawi hayo balaa manafiki kinoma,,yanahalibu mazingira kweli hayapendi wengine wafanikiwe yanaukabila kinoma mengi ni mbumbumbu bora yabaki huko kwao maana yanatuhalibia mazingira mabinafsi kinoma hayo kila yanapoenda yanalazimisha lugha iwe kisukuma nyimbo za kisukuma ama kweli haya yamelogwa
Kuandika hujui halafu unawadharau wasukuma, wewe mshamba sana.
 
Back
Top Bottom