Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sio watu wote wanataka kuzaa.W
Watu wote tunataka kuzaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio watu wote wanataka kuzaa.W
Watu wote tunataka kuzaa.
Hizo sehemu zina njaa na ardhi ya kugombania wasukuma waende kufanya nini huko?hivi mikoa kama manyara, arusha na kilimanjaro wasukuma kwa wingi wapo maeneo gani wanaishi wao tu? Achana na wale watumishi wa umma na wawili watatu wanaotafuta fursa za biashara na masomo. Nataka nione tu kijiji au mtaa wamejenga wasukuma watupu wanaishi kama mikoa mingine isiyo yao unawakuta kijiji kizima au mtaa/kitongoji ni wasukuma watupu huko kilimanjaro, arusha na manyara
Tatizo wamejazana kama manamba Kwa Tanzania Ukitaka kibarua cheap unamchukua mrundi au msukuma
Wasukuma wanapendeka mpaka china.
Wachina wanapenda kuoa wanawake wa kisukuma - hodari, wafanya kazi, wanajiunga kiurahisi na kuwa kama wao. Wasichana wa kisukuma oyeee😂👍🏼
Angalia hii jinsi anasifiwa kwa kumuangalia baba mkwe wake , akiugua analia kama mzazi wake
View: https://youtu.be/iCmcbRXHbT0?si=OTqv2KarIYQgMd0J
Denabanike babele babuza sanaNaswage eng’ombe magana manne.
Mbona Uyole ni mwenyeji na sijawahi kuwaona,ila Mbarari nakubali maana pale Mswiswi kuna makazi ya mzeeUyole wapo deal zao kutoa matrekta msumbiji na malawi kuleta bongo, bonde la Usangu lote wamejaa, ubaruku Hadi madibila huko , sema ukishindwa kuishi na msukuma utakua na tatizo wewe binafsi.
Kwenye kupenda ushirikina hapo umepiga bull mkuu. Kumkuta binti wa kisukuma asiyechanjwa ni kasheshe hasa Simiyu, Geita na Shinyanga.Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Kwenye kupenda ushirikina hapo umepiga bull mkuu. Kumkuta binti wa kisukuma asiyechanjwa ni kasheshe hasa Simiyu, Geita na Shinyanga.
Wasukuma wanapendeka mpaka china.
Wachina wanapenda kuoa wanawake wa kisukuma - hodari, wafanya kazi, wanajiunga kiurahisi na kuwa kama wao. Wasichana wa kisukuma oyeee😂👍🏼
View: https://youtu.be/iCmcbRXHbT0?si=OTqv2KarIYQgMd0J
wasichana wa kisukuma wana high demand mpaka china. Wakifika tu wanaolewa. Utaniambia hii reputation inakujaje? Kuchanjwa ni stori tu. Usiamini upuuzi huo. Vitendo ndio kuchanjwa yenyewe. Kwa kuwapenda mpaka wachina wanawabeba mgongoni😂😂.
View: https://youtu.be/ZNNwraiFXxI?si=YRkoiIUlyVGusJBD
Kweli ila wapo kila sehemu halafu hawana tabia za wizi wao ni kazikazi tuu!
UlemholaNmepokea
Mhola gawiza, ja mashikhuu?!!Ulemhola
Pamoja na yote hayo siwezi ruhusu mwanangu akaolewa na Wasukuma Kwa sababu zifuatazo;Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
Sio njaa toa ujinga wako hapa, sababu huwezi wakuta wengi huko Kwa vole Kuna jamii washindani wao ambao ni jamii za wafugaji.Hizo sehemu zina njaa na ardhi ya kugombania wasukuma waende kufanya nini huko?
Uchagani huwezi wakuta Kwa sababu hakuna ardhi iddlehivi mikoa kama manyara, arusha na kilimanjaro wasukuma kwa wingi wapo maeneo gani wanaishi wao tu? Achana na wale watumishi wa umma na wawili watatu wanaotafuta fursa za biashara na masomo. Nataka nione tu kijiji au mtaa wamejenga wasukuma watupu wanaishi kama mikoa mingine isiyo yao unawakuta kijiji kizima au mtaa/kitongoji ni wasukuma watupu huko kilimanjaro, arusha na manyara