ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wengine hamtaki kuzaaKweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hamtaki kuzaaKweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
Ng'ombe siyo wanyama wa porini, wanafugwa, halafu mazingira ya porini ni ya kitalii na yanafaa kwa afyà. Huwezi kufugà ng'ombe mjini.Wamejaa kila sehemu wanaishi kama ng'ombe tu maporini huko
Miafrika ndivyo tulivyo mkuu. Tukitoka hapo tunawalaumu wazungu. Jiulize huu ni mwaka 2024 je wakati mzungu anakuja hapa miaka ya 1870 huko babu yake huyu alikuwa na mawazo gani?Inasikitisha sana,
Haisaidii chochote zaidi ya kuongezeka umaskini tu.
Watu wote tunataka kuzaa, ila tayari wasukuma ni wengi sana.Wengine hamtaki kuzaa
Machawi hayo balaa manafiki kinoma,,yanahalibu mazingira kweli hayapendi wengine wafanikiwe yanaukabila kinoma mengi ni mbumbumbu bora yabaki huko kwao maana yanatuhalibia mazingira mabinafsi kinoma hayo kila yanapoenda yanalazimisha lugha iwe kisukuma nyimbo za kisukuma ama kweli haya yamelogwa
Huo Wingi wao unakuja Kwa kuzaa vitoto 2,3 au 4? Acheni ujinga , Wasukuma wanazaa kiwango Cha chini Cha Watoto ni 5W
Watu wote tunataka kuzaa, ila tayari wasukuma ni wengi sana.
Uyole wapo deal zao kutoa matrekta msumbiji na malawi kuleta bongo, bonde la Usangu lote wamejaa, ubaruku Hadi madibila huko , sema ukishindwa kuishi na msukuma utakua na tatizo wewe binafsiNa Uyole wapo hivi?
Yanatualibia = Yanatuharibia
Yamelogwa = yamerogwa
Ni lini Wasukuma walilazimisha Kisukuma?
Huo Wingi wao unakuja Kwa kuzaa vitoto 2,3 au 4? Acheni ujinga , Wasukuma wanazaa kiwango Cha chini Cha Watoto ni 5
Pili hawa wanajua kuzitafuta na kulinda Mali.
Ukiolewa upande huo mume akafariki au vinginevyo ukae ukijua wewe mwanamke huna Haki ya chochote ukizingua watakuchinja
Rekaga ubuhwahwa. Basukuma batasinzaga banhu 😂. Basukuma bakasinzaga ng’ombe. Bebe ute ng’ombe- rekaga kooga
Ni kweli yaan wasukuma ni wakalimu Sanaa..Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Basukuma banhu bawiza gete.
Basukuma balimi ba mapo na muchele
Basukuma balimi ba maliwa
Basukuma balimi ba pamba
Basukuma balena ng’ombe, mburi
Basukuma balena nhoro ne ngoko
Basukuma babini ba mbina
Ubebe ure nzungu? Phaa sambusa😂😂😂 wameriiwa 😂😂😂
Tatizo wamejazana kama manamba Kwa Tanzania Ukitaka kibarua cheap unamchukua mrundi au msukumaKweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
Tatizo inazalisha masikini wengi na manambaMboo ni silaha pia ikitumika vizuri
Huko duniani watu leo wanajisifia kufanya vumbuzi, kwenda mwezini na vipaji vya sanaa, michezo sisi huku kwa kina FaizaFoxy bado tunashinda na kujisifia kuzaana na kujaza ardhi!🤣Miafrika ndivyo tulivyo mkuu. Tukitoka hapo tunawalaumu wazungu. Jiulize huu ni mwaka 2024 je wakati mzungu anakuja hapa miaka ya 1870 huko babu yake huyu alikuwa na mawazo gani?