Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Sasa wewe umejifunga hapo kijiji kwenu tuu, tembea uone hawa ngosha walivyosambaa TZ na wao wanaoñgea kisukuma tuu kwa sauti kubwa kila mahali.
Madihani na maeneo mengi ya Makete jiografia yake ni ngumu na ardhi imejaa mashamba ya miti, ngano na viazi. Wasukuma wanaona bora walowee Songea
 
Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    15.4 KB · Views: 3
Watu wanazaa kama panya tena huku usukumani kuna umasikini uliotopea yani kajumba kamoja tena kaslopu watoto wanaotoka humo sasa utadhani kituo cha kulelea watoto yatima .

Watu wanalalia michembe wanashindia michembe
 
yaani bado watu wanasifia majitu kuzaana bila mpango bila resources?

Aiseee!
Wasukuma wanazaa sana ila si wavivu na wanabidii ya kutafuta na hawana njaa, wengi wana mali za kutosha kuishi na pia wana mifugo mingi. Hàta mikoa yote wanayoishi hukuti wakiwa maskini wa kuombaomba.
Kwa maisha ya kiafrika wako sawa kuzaana maana wanayamudu maisha,
eti To yeye
 
Waache waendelee kuwaponda....wingi wao ndiyo tawala yao na kusambaa kwao mnakokuzungumzia
 
Watu wanazaa kama panya tena huku usukumani kuna umasikini uliotopea yani kajumba kamoja tena kaslopu watoto wanaotoka humo sasa utadhani kituo cha kulelea watoto yatima .

Watu wanalalia michembe wanashindia michembe
Kwa wàtanzania wengi wanaoishi vijijini hadi leo ni masikini wa kutupwa, siyo wasukuma tuu. Tembea vijiji kote kuna umaskini sana. Hata pemba vijijini ni masikini sana.
 
Tanzania jamii pekee inayoweza kushindana na Wasukuma kuzaa ni Wapemba.

Na Wapemba hawako wengi kama Wasukuma kwa hivyo Wasukuma wataendelea kusumbua kwa muda mrefu tu.

Lakini tunapoelekea baada ya miaka si mingi makabila yatachanganyikana sana na hata kutoweka kabisa.

Unaonaje?

Je, Tanzania ya miaka 100 ijayo bado itakuwa na makabila yenye nguvu, au itakuwa na makabila ya kihistoria tu?
 
Umesema kweli ngosha, Mungu kawabariki sana maana kila mnapokuwa mnakandamiza kisukuma na mnaishi kwa umoja sana.
Kongole zenu.
Asante sana

Tutunze karama na tamaduni zetu acha hawa madogo wanabadilisha rafudhi zao ili wasijulikana wanakotoka
 
Wasukuma na ushirikina nisawa na waha na uchafu hauwezi kuwatenganisha.Ukienda maswa huko sehemu za ipililo huko waganga kama wote.

Sasa nenda itilima huko serikali inakusanya kodi kubwa kutoka kwa waganga wa kienyeji yani kifupi huko kila baada ya nyumba moja kuna nyumba ya mganga. MAANA YA NENO IPILILO MAANA YAKE NI PAKUPONEA YAANI MTU AKIUGUA WANAMWAMBIA MPELEKENI IPILILO YAANI SEHEMU MAALUM PAKUPONEA MAGONJWA YAKO.
 
Uchawi ni tamaduni za wengi waafrika. Hapa tz wachawi/waganga konki wako Pemba. Mzee wa Lupaso aliondoka Pemba usiku wa manane baada ya kusalimiwa na kibwengo chumbani.
 
Back
Top Bottom