Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Hio njia nimewahi kupita na huwa ni malele na kubishana kwenye gari t3na wanabishana kisukuma alafu wanacheka kwa sauti kubwa kweli njia nzima ni Fujo hawataki kusogea nyuma alafu wanabanan kwenye gari daah wasukuma bwana
Mbaya to tabora hio
Barabara ya Mbeya ~ Tabora imebarikiwa kuwa na wasukuma kibao. Asipoongea na simu basi utamkuta anapiga mziki na kisimu cha mchina au vile viradio vya kichina[emoji3]
 
lazima mnao lalamika mtakua na mabusha mtu akiongea kwa sauti mnashtuka
 
Raizoni
 
Tukiwa form one si unajua ile boarding unafungashiwa zagazaga kibao.... Basi kila nachotoa jamaa wanahoji blue band hawajui, kiwi Hola, sijui mango peackle na vizaga kibao hola Mwisho tomato sauce jamaa akapiga aroo rinatudangaya haya sio manyanya itakua Ni madamu ya mtu... Daah Malale hii dhambi ilimtafuna all those four years.. Sema they are very good friends can't forget them
 
Tuliyomba kisukuma gete
Ndio asili yise.
Ndugu zangu huwa nasafiri nao ni wabishi, unakuta wa mbele anamwongelesha wa nyuma mpaka safari inaisha ni sheeda. Af wanachoongea ni nothing than utani utani tu. Ukimwambia apunguze kelele mtagombana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…