Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Jamani mnanikumbusha mbali sana. kipindi nilikua Shinyanga nilimpata bibi wa kipush. jama kufika faragha hiyo chupi aliyovaa. bukta si bukta. kaptula si kaptula sijui ni tambata gani. si unajua chupi nzuri ya kike huamsha hisia zaidi hasa mwanamke akiwa na chura
[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Hio njia nimewahi kupita na huwa ni malele na kubishana kwenye gari t3na wanabishana kisukuma alafu wanacheka kwa sauti kubwa kweli njia nzima ni Fujo hawataki kusogea nyuma alafu wanabanan kwenye gari daah wasukuma bwana
Mbaya to tabora hio
Barabara ya Mbeya ~ Tabora imebarikiwa kuwa na wasukuma kibao. Asipoongea na simu basi utamkuta anapiga mziki na kisimu cha mchina au vile viradio vya kichina[emoji3]
 
lazima mnao lalamika mtakua na mabusha mtu akiongea kwa sauti mnashtuka
 
Hahaaaa hata ungevaa earphones wangezizid, umenikumbusha jamaa yangu Shija alipopokea boom akaenda town kununua nguo za mitoko, anarud ananionesha nguo kila anayotoa akiweka kitandan n pajama la mchele mchele, wazee nilichekaaaa....... kila nikitaka kuacha akitoa jingne naanza mwishowe nikaanguka nikajigonga mlangoni mpk leo nina alama, Kila nikikumbuka lile tukio nacheka sanaa, Moja alinipa ninalo mpk leo la ukumbusho, Ila n watu fresh sanaaa, His was one of my best friend kwa kweli, with our better days and better campan, asaiv majukumu yanatubana, Hakuna kitu kizur kama kua na marafk wazur asee, Hapo sijazungumzia raba kama za kangi na Yale maviatu ya zaman yenye soli kubwa yenye gorofa(siyajui jina ila wahenga mtakua mnayajua), machinga Mungu anawaona
Raizoni
 
Tukiwa form one si unajua ile boarding unafungashiwa zagazaga kibao.... Basi kila nachotoa jamaa wanahoji blue band hawajui, kiwi Hola, sijui mango peackle na vizaga kibao hola Mwisho tomato sauce jamaa akapiga aroo rinatudangaya haya sio manyanya itakua Ni madamu ya mtu... Daah Malale hii dhambi ilimtafuna all those four years.. Sema they are very good friends can't forget them
 
Tuliyomba kisukuma gete
Ndio asili yise.
Ndugu zangu huwa nasafiri nao ni wabishi, unakuta wa mbele anamwongelesha wa nyuma mpaka safari inaisha ni sheeda. Af wanachoongea ni nothing than utani utani tu. Ukimwambia apunguze kelele mtagombana.
 
Back
Top Bottom