Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Sidhani kama ni hao tu,watu wengi sana hawawezi kucontrol sauti kwenye Simu wakati wa kuongea,kwa hili nawatetea wasukuma si wao peke yao ni tatizo la kitaifa
 
Kuongea sauti kubwa mbele ya umma ni UJASIRI!. Hakuna Msukuma MUOGA!..
shenzy 🙂
 
Ha haaa....
 
Hilo ni kweli Mkuu nimewahi kukutana nao hawa Jamaa. Nilikuwa nakuja mikoa ya kusini nikapanda nao gari moja. Asee wanatumia nguvu nyingi kuongea bila kujali walio karibu yao.
Washamba
 
Makabila yote hayawezi kufanana kwa kila kitu,wasukuma huongea kwa sauti ya mamlaka hivyo ni kawaida yao hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…