Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Bora ukute wanaongea na simu, sio wawe wanaongea wenyewe kwa wenyewe kwenye gari hata kama mmoja yuko mbele kabisa na mwingine nyuma wao poa tu wanapiga kelele halafu kilugha sasa.
 
Haaahaaa....alivaa pensi nyanya
 
Hawana tofauti na wapopo....daah mpaka Chris Tucker aliwatoleaga mifano Houston, kipindi kajaga kwa obasanjo aliwavunja mbavu watu....eti wanaongea utafikiri wanataka kupigana
 
Uongeaji gani huo kama wana Cone Speaker mdomoni, na usiombe aangue kicheko unaweza ruka nje ya gari ukajua tairi imekula mzinga
Ahaaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Me stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sauti kama meli inataka kung'oa nanga vile haaaa haaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe duu kwahiyo akili yako ikaishia kwenye chupi yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwanini hukumnunulia nzuri jamani watu mnamambo
 
Umeongea..hawa jamaa baadhi ni watu poa sana ila ni washamba kupindukia...
 
Hio njia nimewahi kupita na huwa ni malele na kubishana kwenye gari t3na wanabishana kisukuma alafu wanacheka kwa sauti kubwa kweli njia nzima ni Fujo hawataki kusogea nyuma alafu wanabanan kwenye gari daah wasukuma bwana
Mbaya to tabora hio
Hiyo ndiyo asili ya wasukuma na hauwezi kuibadili kwani wao kila jambo ni nguvu.
 
Asili ya Wasukuma kila jambo ni nguvu. Kwa hiyo huo ustaraabu wako pia ni tatizo kwao. Bora ulivyoamua kuheshimu na kutafuta cha kuziba masikio japo ulikosa.
 
sisi tunajiamini na tuna furaha muda wote ulitaka tuongee kwa kubana pua. hiyo siyo jadi yetu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sauti kama meli inataka kung'oa nanga vile haaaa haaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaani shogaa we acha tuu wanapayuka sana kama mafarisayo..khaa!!!
 
Yaani shogaa we acha tuu wanapayuka sana kama mafarisayo..khaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wale nao sijui wapoje, huko vijijini unaweza mletea kifuniko cha kisoda akakuletea ndoo ya viazi haaaa haaaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na zani ile hali ya kutembea pori kwa pori inawaadhiri sana, kuongea sasa jamani jamani bora hata walivyokatazwa chagula yao
 
Hahaahahha woiii...basii bibiee baba gilesi asije akasikia bureee akaja kunizibua masikio mm na voice yake..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…