Wasukuma wa ccm aka ngombe mifugo.Wasukuma wana mioyo ya plastic
Wao kila kitu ni " no taabu"
CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya
Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa
Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori chakavu
Kwanini wasiende Kwa matakwa Yao au basi hata kama wanasombwa, wasombwe Kwa mabasi au coaster
Huu ujinga ukiuleta huku Kagera hutawapata watu kwanza watakupiga maweView attachment 3376270
Kwa akili ya Wasukuma basi hapo usikute wanaona wameikomoa serikali kupanda lori bure kwenda na kurudi.....na kama Bw. dereva alipiga honi kuwashitua watu mtaani ndiyo kabisaaaaa, kawaua hawa jamaa. Utawasikia kwani hukusikia ile honi aliyepiga dereva, basi mimi nilikuwa nimepanda lori lile, dereva aliturusha kweli kwenye mashimo, aisee yule jamaa mshenzi kweli.Wasukuma wana mioyo ya plastic
Wao kila kitu ni " no taabu"
CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya
Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa
Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori chakavu
Kwanini wasiende Kwa matakwa Yao au basi hata kama wanasombwa, wasombwe Kwa mabasi au coaster
Huu ujinga ukiuleta huku Kagera hutawapata watu kwanza watakupiga maweView attachment 3376270
Udhaifu niliouona kwa hii jamii wanajiamini sana kitu kinachopelekea ugumu kujifunza au kufundishika sababu akiona mjomba wake ana watoto 30 na wanaishi tayari inakaa kichwani mwake kuwa ni Jambo rahisi linalowezekana sasa wewe jichanganye umwambie kale kausemi Ka kila mtoto huja na baraka zake ni kamchongo we hakweli anakuona kama hazimo na hujui chochote kuhusu maisha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅Wasukuma wana mioyo ya plastic
Wao kila kitu ni " no taabu"
CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya
Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa
Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori chakavu
Kwanini wasiende Kwa matakwa Yao au basi hata kama wanasombwa, wasombwe Kwa mabasi au coaster
Huu ujinga ukiuleta huku Kagera hutawapata watu kwanza watakupiga maweView attachment 3376270
Akili za kitoto hizo Ngosha, njoo tuvue basi Samaki hapa Mwaroni Ziwa FikitoriaKwa akili ya Wasukuma basi hapo usikute wanaona wameikomoa serikali kupanda lori bure kwenda na kurudi.....na kama Bw. dereva alipiga honi kuwashitua watu mtaani ndiyo kabisaaaaa, kawaua hawa jamaa. Utawasikia kwani hukusikia ile honi aliyepiga dereva, basi mimi nilikuwa nimepanda lori lile, dereva aliturusha kweli kwenye mashimo, aisee yule jamaa mshenzi kweli.
Baiskeli Ngosha huku sisi kwetu ni Daladala, huko Da-slum si kuna Mwendokasi huku sio usafiri pendwa ni huo Daladala na ukisikia ita Daladala au panda Daladala isifikiri kuna Daladala za kwenda Posta Ngosha ni Baiskeli ya Phoenix ndio Daladala kwa hio kupewa Daladala kwetu ni kitu kikubwa sana kuna maeneo pikipiki haipiti ila Daladala inapita Ngosha si unajua?Wenzso Dar wanapewa pikipiki wasukuma baiskeli halafu wamekenua mpaka jino la mwishooh.
Unazungumzia kijiji gani kuna ukubwa wa afutano au afukumi? Sengerema?Huenda wanakuwa wameahidiwa elf 10 kumi au tano tano! Sasa kwa kijijini hiyo ni kubwa.
Nakusalimu kwa jina la jamuhuri🤣🤣Nywaning'we! 😡😡😡😠