Wasukuma ni jamii watu wanaodanganyika kirahisi mno

Wasukuma wana mioyo ya plastic
Wao kila kitu ni " no taabu"

CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya

Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa

Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori chakavu

Kwanini wasiende Kwa matakwa Yao au basi hata kama wanasombwa, wasombwe Kwa mabasi au coaster

Huu ujinga ukiuleta huku Kagera hutawapata watu kwanza watakupiga maweView attachment 3376270
Akina magufuli
 
Haya ndio mambo CCM inapenda myajadili na kuwaweka busy huku wakiendelea kutafuna pesa ya umma. Hakuna sehemu umefanyika mkutano wa CCM bila watu kusombwa na mabasi/malori kutoka sehemu zingine
 
Hao kwenye malori wahamiaji tu akina ngosha halisi hawako humo
 
1750401222120.jpeg
 
We jamaa!

Mnyambo Gani usiejua kufanya analysis!!?

Tatizo sio wasukuma Wala wanyambo!

Tatizo ni mfumo!!?ilisainiwa kwamba CCM ndio chama kitakacho ongoza vingine vimsaidie kuongoza!!

Huo ni mtego mgumu mno kwa Rais yeyote atakaeshinda kwa tiketi ya CCM!

Utatakiwa ufanye lolote lile Ili ccm ishinde na huo ndio mtego unaopumbaza kuliko!!

Hata kama CCM itakua imechokwa lazima utaua ulazimishe ushindi hata wa kuua mtu mmoja au wengi ili ishinde!!
 
Wasukuma wana mioyo ya plastic
Wao kila kitu ni " no taabu"

CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya

Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa

Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori chakavu

Kwanini wasiende Kwa matakwa Yao au basi hata kama wanasombwa, wasombwe Kwa mabasi au coaster

Huu ujinga ukiuleta huku Kagera hutawapata watu kwanza watakupiga maweView attachment 3376270
Kwani hawa ni wasukuma?
 
Haya ndio mambo CCM inapenda myajadili na kuwaweka busy huku wakiendelea kutafuna pesa ya umma. Hakuna sehemu umefanyika mkutano wa CCM bila watu kusombwa na mabasi/malori kutoka sehemu zingine
Kweli kabisa mkuu, 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom