mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Kwani mshindi anatokana na kura?Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo Tanganyika, ila ana Influence kubwa kuliko samia kwani , kete ya kwanza ya mpina ni Mtanganyika, Na kete ya pili ya mpina ni Msukuma kutoka kabila lenye idadi ya watu inayokaribia asilimia 50 ya population tanzania. hivyo kimzaa mzaa msishangae luhaga mpina akashinda urais wa Tanzania
sawa chawa wa samia, lazma utakuwa mzanzibari weweWalishajaribu miamba ya kinyanyuzu mzee " MAPESA " na Kuna mikoa alikuwa anapata kura sifuri kabisa sembuse huyo asiyejulikana sehemu yoyote? Aliyemdanganya kugombea uraisi ndiye kampoteza kabisa Bora ubunge angepata kwa wakulima wake wa Gisesa wasiokuwa lolote
Huna hojasawa chawa wa samia, lazma utakuwa mzanzibari wewe
hoja ipo mezani jibu wewe dada wa kizanzibariHuna hoja
Tombine'hoja ipo mezani jibu wewe dada wa kizanzibari
Wasukuma population ni how much in Tanzania ?Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo Tanganyika, ila ana Influence kubwa kuliko samia kwani , kete ya kwanza ya mpina ni Mtanganyika, Na kete ya pili ya mpina ni Msukuma kutoka kabila lenye idadi ya watu inayokaribia asilimia 50 ya population tanzania. hivyo kimzaa mzaa msishangae luhaga mpina akashinda urais wa Tanzania
Unaijua CCM wewe? Hapo hapo Kisesa Samia atapata 90% na Mpina kuambulia 10% wale jamaa hawana aibu kabisa.Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo Tanganyika, ila ana Influence kubwa kuliko samia kwani , kete ya kwanza ya mpina ni Mtanganyika, Na kete ya pili ya mpina ni Msukuma kutoka kabila lenye idadi ya watu inayokaribia asilimia 50 ya population tanzania. hivyo kimzaa mzaa msishangae luhaga mpina akashinda urais wa Tanzania
Problem is when it comes to siasa za nchi hii it takes more than kabila, so we all know he wont make it hata iweje but ataleta impact anapotokaHuo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.