nyanzara
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 688
- 289
Waambie hakuna haja ya kubishana na vikabila vidogo vidogo vyenye roho mbaya.Wasukuma tupo vizuri chekeni na kuponda mwezavyo lakini siye wala hatuna shida ya kubishana na vikabila vidogo vidogo visivyo na ushawishi wowote, wasukuma si tu ni kabila bali ni jamii yenye misingi rasmi ya kijamii kuanzia maadili hadi heshima kwa wote na kujitolea kwa kujali wengine bila kuzingatia makabila na ukanda, in short karibuni kwa wasukuma mnufaike na ukarim wetu ambao baadhi yenu mnausema hasa ndo ushamba wetu.
Saguda 47, from Meatu Simiyu.