Wasukuna watani zangu. Wasukuma wote ni ......

Wasukuna watani zangu. Wasukuma wote ni ......

Wasukuma tupo vizuri chekeni na kuponda mwezavyo lakini siye wala hatuna shida ya kubishana na vikabila vidogo vidogo visivyo na ushawishi wowote, wasukuma si tu ni kabila bali ni jamii yenye misingi rasmi ya kijamii kuanzia maadili hadi heshima kwa wote na kujitolea kwa kujali wengine bila kuzingatia makabila na ukanda, in short karibuni kwa wasukuma mnufaike na ukarim wetu ambao baadhi yenu mnausema hasa ndo ushamba wetu.

Saguda 47, from Meatu Simiyu.
Waambie hakuna haja ya kubishana na vikabila vidogo vidogo vyenye roho mbaya.
 
Waambie hakuna haja ya kubishana na vikabila vidogo vidogo vyenye roho mbaya.
Hahahaa umepga penyewe kabsaaa, huwa najiuliza haya makabila yanayosakama wasukuma hawana aibu kwa sababu wakienda kwa wasukuma huhudumiwa kama wageni kwa upendo mwingi na kujali, wakitoka hapo wanahubiri mabaya ya wasukuma, Daaahhh ama kweli pa- kulia ndo pa kunyea!!
 
Wasukuma tupo vizuri chekeni na kuponda mwezavyo lakini siye wala hatuna shida ya kubishana na vikabila vidogo vidogo visivyo na ushawishi wowote, wasukuma si tu ni kabila bali ni jamii yenye misingi rasmi ya kijamii kuanzia maadili hadi heshima kwa wote na kujitolea kwa kujali wengine bila kuzingatia makabila na ukanda, in short karibuni kwa wasukuma mnufaike na ukarim wetu ambao baadhi yenu mnausema hasa ndo ushamba wetu.

Saguda 47, from Meatu Simiyu.
Uko sahihi, lakini jifunze zaidi maana ya "ushawishi". Kama lingekuwa ni hicho unachoita ushawishi rais wa kwanza hadi wa nne wasingetawala coz wanatokea makabila madogo sana. Hapa sio Kenya. Hakuna kabila lenye ushawishi, by the way makabila yanakwenda yanapotea na nyakati. Mfano mimi baba mfipa na mama msukuma kama wewe. Wife ni mama yake mchagga baba yake mhehe, hao watoto wetu wanafuata ethnicity ipi? Wajukuu je? Sisi ni WATANZANIA.
 
Back
Top Bottom