Wasukuna watani zangu. Wasukuma wote ni ......

Waambie hakuna haja ya kubishana na vikabila vidogo vidogo vyenye roho mbaya.
 
Waambie hakuna haja ya kubishana na vikabila vidogo vidogo vyenye roho mbaya.
Hahahaa umepga penyewe kabsaaa, huwa najiuliza haya makabila yanayosakama wasukuma hawana aibu kwa sababu wakienda kwa wasukuma huhudumiwa kama wageni kwa upendo mwingi na kujali, wakitoka hapo wanahubiri mabaya ya wasukuma, Daaahhh ama kweli pa- kulia ndo pa kunyea!!
 
Uko sahihi, lakini jifunze zaidi maana ya "ushawishi". Kama lingekuwa ni hicho unachoita ushawishi rais wa kwanza hadi wa nne wasingetawala coz wanatokea makabila madogo sana. Hapa sio Kenya. Hakuna kabila lenye ushawishi, by the way makabila yanakwenda yanapotea na nyakati. Mfano mimi baba mfipa na mama msukuma kama wewe. Wife ni mama yake mchagga baba yake mhehe, hao watoto wetu wanafuata ethnicity ipi? Wajukuu je? Sisi ni WATANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…