Wasukuna watani zangu. Wasukuma wote ni ......

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
1479542847649.jpg
 
Moja kati ya kazi za wasukuma
 
Attachments

  • 1479543449757.jpg
    1479543449757.jpg
    19.6 KB · Views: 154
Makabila wafugaji wote ni washamba wasukuma wajanja kdogo kulinganisha na mkulia mshamba no 1 anafuata maasai
 
Wasukuma tupo vizuri chekeni na kuponda mwezavyo lakini siye wala hatuna shida ya kubishana na vikabila vidogo vidogo visivyo na ushawishi wowote, wasukuma si tu ni kabila bali ni jamii yenye misingi rasmi ya kijamii kuanzia maadili hadi heshima kwa wote na kujitolea kwa kujali wengine bila kuzingatia makabila na ukanda, in short karibuni kwa wasukuma mnufaike na ukarim wetu ambao baadhi yenu mnausema hasa ndo ushamba wetu.

Saguda 47, from Meatu Simiyu.
 
umekula like yangu [emoji106]
 
Moja ya kabla linaloheshimika sana hata kumteua mmoja wao kuwaongoza pamoja na makabila wengine wasukuma hawapendagi ujinga
 
Back
Top Bottom