Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kuwaita ndugu za baba, baba mdogo/mkubwa na ndugu za upande wa mama, mama mdogo/mkubwa imekaa Kienyeji sana. Baba ni mmoja tu, mama ni mmoja tu, hakuna nusu baba au nusu mama.
Kama walikosa majina ya kuwapa bora tungebaki na mjomba na shangazi tu kwa pande zote. Unakuta mtu ana miaka 25 ana baba mdogo mwenye miaka 15!
Upuuzi mtupu.
Kama walikosa majina ya kuwapa bora tungebaki na mjomba na shangazi tu kwa pande zote. Unakuta mtu ana miaka 25 ana baba mdogo mwenye miaka 15!
Upuuzi mtupu.