Weka ufafanuzi zaidi, kiliumaliza kwa namna gani ?Tukazane kusomesha watoto, kiingereza kilishaumaliza huu mgogoro mapema sana.
Aunt /Uncle.Weka ufafanuzi zaidi, kiliumaliza kwa namna gani ?
Kuna familia za kizungu zinazaa kama walivyo waafrika kwamba unakuta mdogo wa baba yako umemzidi miaka zaidi ya 20?Aunt /Uncle.
Kuna familia za kizungu zinazaa kama walivyo waafrika kwamba unakuta mdogo wa baba yako umemzidi miaka zaidi ya 20?Hakuna small father, big father, small mother, big mother.
Sasa kama umemzidi miaka 20 ndio inahalalisha kumuita baba? Hapo ndio utaona lugha yetu imefeli. Unamzidi mtu miaka 20 alafu kisa ni mdogo wa baba yako unamlazimisha mtoto wako amuite baba mdogo? That's pure madness!Kuna familia za kizungu zinazaa kama walivyo waafrika kwamba unakuta mdogo wa baba yako umemzidi miaka zaidi ya 20?
Mimi sioni umadness wowote. Ni vile tu mkatao kwao ni mtumwa au asiye na mila ni mtumwa.Sasa kama umemzidi miaka 20 ndio inahalalisha kumuita baba? Hapo ndio utaona lugha yetu imefeli. Unamzidi mtu miaka 20 alafu kisa ni mdogo wa baba yako unamlazimisha mtoto wako amuite baba mdogo? That's pure madness!
Ona sasa unavyokimbilia kadi ya mtumwa wa utamaduni baada ya kukosa hoja ya msingi. Hapa hatuongelei utumwa, tunaongelea accuracy of language. Kiswahili kilifeli kutofautisha majukumu na DNA ndio maana kikaleta hayo majina ya kienyeji. Kukubali lugha ina mapungufu sio utumwa, ni kujitambua mzee!Mimi sioni umadness wowote. Ni vile tu mkatao kwao ni mtumwa au asiye na mila ni mtumwa.
Mimi binafsi nina watoto wa kaka zangu walionizidi umri, na mara zote uni address kama baba mdogo. Haiwapunguzii kitu wala mimi hauniongezei kitu.