donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #21
Usema ukweli lazima huyo
Dada bado auamtaka huyu kijana
1.anamtaka sababu she is insecure na yule kijana mwingine
2.anataka waendelee kuwa marafiki ili aendelee kumsaidia na masomo
3.apate mtu wa kumkimbilia siku mambo ya kichachuka..
Sanasana anachofanya huyo dada nikumdanganya huyu
mzeewalolliondo na viking txt vya kufurahisha moyo
lakini yaelekea huyo dada hana mwelekeo unaoeleweka
kamshika yule ajili ya sura , kamshika huyu ajili ya akili,
Na usikute anamwingine ajili ya personality..
Lizzy mpenzi
Kama kweli humtaki mtu
Na waelewa kabisa huyo mtu
Ana feelings fulani za mapenzi juu yako
kwanini wa mchokoza kwa kumwita majina matamu?
Kama ni rafiki tu na hana feeling hizo
nisinge ona tatizo kwa huyu msichana kumwita hayo
majina....
is not good to hurt peoples feelings
And the terrible bits is when u play with it ..
So mzeewalolliondo u need to wake up ...
Mkuu kama King solomon vile hayo mahekima